Simba ibadilike vinginevyo itaweka kambi ya kudumu Robo Fainali

Mpaka hiki nacho unataka kubisha, haya kwani kwenye list ya majina wachezaji wa kigeni unamuona Phiri au hujui tayari kishapata timu Zambia.
Mkuu Phili yupo power dynamo ya Zambia kwa mkopo bado ni mchezaji wa Simba. Hata Leo kaitakia ushindi timu yake ya Simba waingie robo fainal kwenye ukurasa wake mtandaoni
 
Ndio tofauti ya wapenzi wa Simba na Utopolo. Tunashinda 6 wapenzi wetu hawaridhiki.Wavimba macho wanaingia robo fainali na pointi 8 msemaji anazimia.
Simba anaingia robo fainali watu wanataka perfection.Hakuna perfection kwenye mpira. Makosa lazima yatokee kwenye mpira.
Nitajie timu isiyo fanya makosa kama ipo.
 
Simba imecheza mechi mbili na Ahly na haikupoteza mechi hata moja
Acha kukariri ohh wakikutana na fulani
Tutacheza na mpinzani uwanjani kulingana na siku husika hivyo mbinu hubadilika
 
na mkifungwa yakutoke hayahaya maneno..
 
Ndugu mchambuzi Kama timu yako imeingia robo ikiwa na point nane basi ina uwezo mdogo sana,
 
Kwan wee Al ahly c kakufunga juzi tyuuh? Au majini uchwara yaliyolewa udi na ubani wa Cairo yamewa sahaulisha? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
tulia mtoto mbona mineno inakutoka kama umewekewa pisto kwenye komwe...?!
we angalia mpira timu yako ikishinda ndo imeshinda na ikifungwa ndo imefungwa...
 
Sasa ni wakati wa Yanga kuwaeleekeza wana Simba namna ya kufuzu Nusu fainali!!
"Taifa moja" "Nchi Moja" "nyuma mwiko"
 
tulia mtoto mbona mineno inakutoka kama umewekewa pisto kwenye komwe...?!
we angalia mpira timu yako ikishinda ndo imeshinda na ikifungwa ndo imefungwa...
Sasa jibu unalo, ikishinda imeshinda na ikifungwa imefungwa, hayo makasiriko yenu yanakujajee?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wana uto mna nn nyie? Muwasindikize wageni wenu eyapoti huko.
 
Na ww usituchoshe bwana...hao wakubwa ambao Simba haijawakaanga ni kina nani hao labda mamelod ambao nao wakija watakaangwa tuu?.hakuna timu kubwa kwa simba kwa sasa..Simba ni among those Giants..so uwe na adabu ukisema Simba ikikukatana na giants..
 
Sasa jibu unalo, ikishinda imeshinda na ikifungwa imefungwa, hayo makasiriko yenu yanakujajee?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wana uto mna nn nyie? Muwasindikize wageni wenu eyapoti huko.
kwenda zako!
 
Saa mbovu mda mwingine usema ukweli🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…