Nanoli JF-Expert Member Joined Oct 15, 2015 Posts 3,735 Reaction score 5,974 Aug 15, 2017 Thread starter #21 eddy brown said: Mmemsikia Julio alivyosema jana,Yanga sio ya kubeza,wanajua wakifanyacho Simba isibweteke.Kaongea kama kocha. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Julio ana akili ya mpira.. Hao wajumbe ndio tu "Ukifuga njiwa utajua bei ya mtama"
eddy brown said: Mmemsikia Julio alivyosema jana,Yanga sio ya kubeza,wanajua wakifanyacho Simba isibweteke.Kaongea kama kocha. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Julio ana akili ya mpira.. Hao wajumbe ndio tu "Ukifuga njiwa utajua bei ya mtama"
Nanoli JF-Expert Member Joined Oct 15, 2015 Posts 3,735 Reaction score 5,974 Aug 15, 2017 Thread starter #22 pangapatuni muhanzagara said: Tumesajiri majembe ya ukweli Kiria na Wambura Ndala kazi mnayo ha ha ha ha ha wanataka kukimbia wakati hauna breki Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sawa "Ukifuga njiwa utajua bei ya mtama"
pangapatuni muhanzagara said: Tumesajiri majembe ya ukweli Kiria na Wambura Ndala kazi mnayo ha ha ha ha ha wanataka kukimbia wakati hauna breki Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sawa "Ukifuga njiwa utajua bei ya mtama"