Nanoli
JF-Expert Member
- Oct 15, 2015
- 3,735
- 5,974
- Thread starter
- #21
Julio ana akili ya mpira.. Hao wajumbe ndio tuMmemsikia Julio alivyosema jana,Yanga sio ya kubeza,wanajua wakifanyacho Simba isibweteke.Kaongea kama kocha.
Sent using Jamii Forums mobile app
"Ukifuga njiwa utajua bei ya mtama"