Masterplaner
Senior Member
- Jul 30, 2020
- 121
- 184
Kuelekea mchezo wa watani wajadi tarehe 8/5/2021 Na kwakuwa tuna mchezo mwingine muhimu zaidi na timu ya Kaizer chiefs kule Afrika kusini Na kwakuwa timu ya Yanga imekuwa na kawaida ya kucheza rafu nyingi inapokutana na Simba hii ya sasa nashauri watumike wachezaji wale tusio watumia kimataifa ili kuepusha majeruhi kuelekea kuvaana na Kaizer chiefs.badala yake watumike chikwende na wenzake naamini kabisa katika uwezo wao