Masterplaner
Senior Member
- Jul 30, 2020
- 121
- 184
Subiri unyolewe ewe mtopolo mwingine!Mikia Fc Kipigo kipo pale pale
Simba waoga kwa yanga,hawezi kuweka makande hayo.kama Simba Wana kikosi kipana wapange hizo fito.Hakika umenena,Yanga kikosi "B"cha Simba kinawatosha sana tu.
Amme.
Ajibu.
Chkwendee.
Morisson.
Kenedy.
Gadiel.
Boco.
Kahata.
Nyoni.
Mkude Lion.
Dilunga.
Kakolanya.
Kwa kikosi hiki tutafungua tena ule mlango wa Simba kukalia hamsa.Hakika umenena,Yanga kikosi "B"cha Simba kinawatosha sana tu.
Amme.
Ajibu.
Chkwendee.
Morisson.
Kenedy.
Gadiel.
Boco.
Kahata.
Nyoni.
Mkude Lion.
Dilunga.
Kakolanya.