Simba ijitoe Ligi ya Mabingwa, ni aibu kubwa kufuzu kwa mpira ule

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Jaman tuambiane ukweli, tunapoikosoa timu yetu tusionekana wabaya ama tuna chuki, tunatumia haki yetu ya kikatiba kutoa maoni.

Timu yetu Leo imeshinda bao 1 0 dhidi ya Vipers, sasa hivi tunatakiwa tuipige Horoya tufuzu.

Lakini huko tuendako uwezo wa timu ni kama ule wa Raja Casablanca, hivi jaman mpira ule kweli ni wa kiwango cha kwenda robo? Hivi Mo Dewji na Try Again wanaona kweli hii ndio Simba tuitakayo.

Yaani unaangalia mpira unapata maudhi unatamani uingie uwanjani ukawazabe makofi wachezaji.

Nimekasirika sana, mpira gani mbovu namna ile
 
Wew ndo mbovu !! Acha Simba iitwe Simba
 
Tunasubiri mechi ya kesho😎, kama inaruhusiwa KUJITOA maana yake inaruhusiwa KUINGIA haya na nyie INGIENI
 
Attachments

  • FB_IMG_1677518492915.jpg
    FB_IMG_1677518492915.jpg
    116.6 KB · Views: 2
  • FB_IMG_1677665014748.jpg
    FB_IMG_1677665014748.jpg
    18.3 KB · Views: 2
  • IMG-20230307-WA0108.jpg
    IMG-20230307-WA0108.jpg
    58.5 KB · Views: 2
Jaman tuambiane ukweli, tunapoikosoa timu yetu tusionekana wabaya ama tuna chuki, tunatumia haki yetu ya kikatiba kutoa maoni.

Timu yetu Leo imeshinda bao 1 0 dhidi ya Vipers, sasa hivi tunatakiwa tuipige Horoya tufuzu.

Lakini huko tuendako uwezo wa timu ni kama ule wa Raja Casablanca, hivi jaman mpira ule kweli ni wa kiwango cha kwenda robo? Hivi Mo Dewji na Try Again wanaona kweli hii ndio Simba tuitakayo.

Yaani unaangalia mpira unapata maudhi unatamani uingie uwanjani ukawazabe makofi wachezaji.

Nimekasirika sana, mpira gani mbovu namna ile
Kwa hiyo unashauri timu ijitoe!
 
🐸🐸🐸 wanacheza siku ya WANAWAKE DUNIANI🤭🤭🤭🤭🤭
 
Jaman tuambiane ukweli, tunapoikosoa timu yetu tusionekana wabaya ama tuna chuki, tunatumia haki yetu ya kikatiba kutoa maoni.

Timu yetu Leo imeshinda bao 1 0 dhidi ya Vipers, sasa hivi tunatakiwa tuipige Horoya tufuzu.

Lakini huko tuendako uwezo wa timu ni kama ule wa Raja Casablanca, hivi jaman mpira ule kweli ni wa kiwango cha kwenda robo? Hivi Mo Dewji na Try Again wanaona kweli hii ndio Simba tuitakayo.

Yaani unaangalia mpira unapata maudhi unatamani uingie uwanjani ukawazabe makofi wachezaji.

Nimekasirika sana, mpira gani mbovu namna ile
Hii ni club bingwa hauigii Kwa mbeleko ,hakuna team inaingia Kwa bahati mbaya ndio maana Simba mwaka wa nne huu back to back makundi ,class is permanent form always temporary
 
Mpira ni matokeo kule ulaya real Madrid inacheza mpira mbovu kwenye league lakini wakifika kwenye UEFA champions league wanapita na kombe wanachukua kila mwaka licha ya pira lao bovu Guardiola kila siku kwenye UEFA champions league anaangukia pua na pira biriani it's all about tactics and not possession.
 
Huwez kua na viungo wawili wa chini Kanoute & Muzamiru hawawalindi mabeki zao vizuri pili hawako comfotable na mpira mguuni yan muda wowote wanapoteza pasi kirahisi saaaana,
Kazi yao kubwa ni
1-Bad pass
2-back pass
3-Bad pass
4-Back pass
Na wakishapoteza mpira ndio wana enjoy kukaba, hakuna timu yoyote duniani hata mtaani inayoweza kua na viungo wa chini aina iyo hata kidogo,
Huwez kukuta Aucho anapteza pasi kitoto ivyo?
Issa ndala anapoteza pasi kitoto ivyo,
Kelvin Nashon anapoteza pasi kitoto ivyo yan ni Viungo wa Simba tu. Yan hii timu waondolewe wachezaji wooote wa kigeni walete wapya wenye ubora wa hali ya juu saaana, Abaki Chama,Phiri na Inonga tu basi
 
Huyo Aucho asiepoteza pasi mbona timu yake ipo Loosers championship.
 
Jaman tuambiane ukweli, tunapoikosoa timu yetu tusionekana wabaya ama tuna chuki, tunatumia haki yetu ya kikatiba kutoa maoni.

Timu yetu Leo imeshinda bao 1 0 dhidi ya Vipers, sasa hivi tunatakiwa tuipige Horoya tufuzu.

Lakini huko tuendako uwezo wa timu ni kama ule wa Raja Casablanca, hivi jaman mpira ule kweli ni wa kiwango cha kwenda robo? Hivi Mo Dewji na Try Again wanaona kweli hii ndio Simba tuitakayo.

Yaani unaangalia mpira unapata maudhi unatamani uingie uwanjani ukawazabe makofi wachezaji.

Nimekasirika sana, mpira gani mbovu namna ile
Yanga mna upumbavu mwingi sana

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Nacheki game ya Zamalek na Esperance hapa. Simba wakikaza buti lolote linaweza kutokea mwaka huu, hizi timu zote haziizidi kihiiivyo, waongeze tu fitness, speed na kutumia vizuri nafasi wanazopata.
 
Back
Top Bottom