Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Jaman tuambiane ukweli, tunapoikosoa timu yetu tusionekana wabaya ama tuna chuki, tunatumia haki yetu ya kikatiba kutoa maoni.
Timu yetu Leo imeshinda bao 1 0 dhidi ya Vipers, sasa hivi tunatakiwa tuipige Horoya tufuzu.
Lakini huko tuendako uwezo wa timu ni kama ule wa Raja Casablanca, hivi jaman mpira ule kweli ni wa kiwango cha kwenda robo? Hivi Mo Dewji na Try Again wanaona kweli hii ndio Simba tuitakayo.
Yaani unaangalia mpira unapata maudhi unatamani uingie uwanjani ukawazabe makofi wachezaji.
Nimekasirika sana, mpira gani mbovu namna ile