Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Wew ndo mbovu !! Acha Simba iitwe SimbaJaman tuambiane ukweli, tunapoikosoa timu yetu tusionekana wabaya ama tuna chuki, tunatumia haki yetu ya kikatiba kutoa maoni.
Timu yetu Leo imeshinda bao 1 0 dhidi ya Vipers, sasa hivi tunatakiwa tuipige Horoya tufuzu.
Lakini huko tuendako uwezo wa timu ni kama ule wa Raja Casablanca, hivi jaman mpira ule kweli ni wa kiwango cha kwenda robo? Hivi Mo Dewji na Try Again wanaona kweli hii ndio Simba tuitakayo.
Yaani unaangalia mpira unapata maudhi unatamani uingie uwanjani ukawazabe makofi wachezaji.
Nimekasirika sana, mpira gani mbovu namna ile
Kwa hiyo unashauri timu ijitoe!Jaman tuambiane ukweli, tunapoikosoa timu yetu tusionekana wabaya ama tuna chuki, tunatumia haki yetu ya kikatiba kutoa maoni.
Timu yetu Leo imeshinda bao 1 0 dhidi ya Vipers, sasa hivi tunatakiwa tuipige Horoya tufuzu.
Lakini huko tuendako uwezo wa timu ni kama ule wa Raja Casablanca, hivi jaman mpira ule kweli ni wa kiwango cha kwenda robo? Hivi Mo Dewji na Try Again wanaona kweli hii ndio Simba tuitakayo.
Yaani unaangalia mpira unapata maudhi unatamani uingie uwanjani ukawazabe makofi wachezaji.
Nimekasirika sana, mpira gani mbovu namna ile
Tunasubiri mechi ya kesho😎, kama inaruhusiwa KUJITOA maana yake inaruhusiwa KUINGIA haya na nyie INGIENI
Hii ni club bingwa hauigii Kwa mbeleko ,hakuna team inaingia Kwa bahati mbaya ndio maana Simba mwaka wa nne huu back to back makundi ,class is permanent form always temporaryJaman tuambiane ukweli, tunapoikosoa timu yetu tusionekana wabaya ama tuna chuki, tunatumia haki yetu ya kikatiba kutoa maoni.
Timu yetu Leo imeshinda bao 1 0 dhidi ya Vipers, sasa hivi tunatakiwa tuipige Horoya tufuzu.
Lakini huko tuendako uwezo wa timu ni kama ule wa Raja Casablanca, hivi jaman mpira ule kweli ni wa kiwango cha kwenda robo? Hivi Mo Dewji na Try Again wanaona kweli hii ndio Simba tuitakayo.
Yaani unaangalia mpira unapata maudhi unatamani uingie uwanjani ukawazabe makofi wachezaji.
Nimekasirika sana, mpira gani mbovu namna ile
Huyo Aucho asiepoteza pasi mbona timu yake ipo Loosers championship.Huwez kua na viungo wawili wa chini Kanoute & Muzamiru hawawalindi mabeki zao vizuri pili hawako comfotable na mpira mguuni yan muda wowote wanapoteza pasi kirahisi saaaana,
Kazi yao kubwa ni
1-Bad pass
2-back pass
3-Bad pass
4-Back pass
Na wakishapoteza mpira ndio wana enjoy kukaba, hakuna timu yoyote duniani hata mtaani inayoweza kua na viungo wa chini aina iyo hata kidogo,
Huwez kukuta Aucho anapteza pasi kitoto ivyo?
Issa ndala anapoteza pasi kitoto ivyo,
Kelvin Nashon anapoteza pasi kitoto ivyo yan ni Viungo wa Simba tu. Yan hii timu waondolewe wachezaji wooote wa kigeni walete wapya wenye ubora wa hali ya juu saaana, Abaki Chama,Phiri na Inonga tu basi
Yanga mna upumbavu mwingi sanaJaman tuambiane ukweli, tunapoikosoa timu yetu tusionekana wabaya ama tuna chuki, tunatumia haki yetu ya kikatiba kutoa maoni.