Kesho Jumatano ni siku ya wanawake😀😀Jaman tuambiane ukweli, tunapoikosoa timu yetu tusionekana wabaya ama tuna chuki, tunatumia haki yetu ya kikatiba kutoa maoni.
Timu yetu Leo imeshinda bao 1 0 dhidi ya Vipers, sasa hivi tunatakiwa tuipige Horoya tufuzu.
Lakini huko tuendako uwezo wa timu ni kama ule wa Raja Casablanca, hivi jaman mpira ule kweli ni wa kiwango cha kwenda robo? Hivi Mo Dewji na Try Again wanaona kweli hii ndio Simba tuitakayo.
Yaani unaangalia mpira unapata maudhi unatamani uingie uwanjani ukawazabe makofi wachezaji.
Nimekasirika sana, mpira gani mbovu namna ile
Yetu macho!!tatizo lenu mahaba yanazidi hali halisi na ajabu mkija kutolewa mtaanza tena kupiga kelele wakati timu mbovu.Mpira ni matokeo kule ulaya real Madrid inacheza mpira mbovu kwenye league lakini wakifika kwenye UEFA champions league wanapita na kombe wanachukua kila mwaka licha ya pira lao bovu Guardiola kila siku kwenye UEFA champions league anaangukia pua na pira biriani it's all about tactics and not possession.
Ujinga.Huwez kua na viungo wawili wa chini Kanoute & Muzamiru hawawalindi mabeki zao vizuri pili hawako comfotable na mpira mguuni yan muda wowote wanapoteza pasi kirahisi saaaana,
Kazi yao kubwa ni
1-Bad pass
2-back pass
3-Bad pass
4-Back pass
Na wakishapoteza mpira ndio wana enjoy kukaba, hakuna timu yoyote duniani hata mtaani inayoweza kua na viungo wa chini aina iyo hata kidogo,
Huwez kukuta Aucho anapteza pasi kitoto ivyo?
Issa ndala anapoteza pasi kitoto ivyo,
Kelvin Nashon anapoteza pasi kitoto ivyo yan ni Viungo wa Simba tu. Yan hii timu waondolewe wachezaji wooote wa kigeni walete wapya wenye ubora wa hali ya juu saaana, Abaki Chama,Phiri na Inonga tu basi
Acha WIVU utakuuaJaman tuambiane ukweli, tunapoikosoa timu yetu tusionekana wabaya ama tuna chuki, tunatumia haki yetu ya kikatiba kutoa maoni.
Timu yetu Leo imeshinda bao 1 0 dhidi ya Vipers, sasa hivi tunatakiwa tuipige Horoya tufuzu.
Lakini huko tuendako uwezo wa timu ni kama ule wa Raja Casablanca, hivi jaman mpira ule kweli ni wa kiwango cha kwenda robo? Hivi Mo Dewji na Try Again wanaona kweli hii ndio Simba tuitakayo.
Yaani unaangalia mpira unapata maudhi unatamani uingie uwanjani ukawazabe makofi wachezaji.
Nimekasirika sana, mpira gani mbovu namna ile
Lini Simba ilikuwa nzuri ikafika nusu fainali? Acha ujuaji hata wakitolewa watarudi mwakani panapo majaaliwaYetu macho!!tatizo lenu mahaba yanazidi hali halisi na ajabu mkija kutolewa mtaanza tena kupiga kelele wakati timu mbovu.
Maajabu ya Karne haya,Huwez kua na viungo wawili wa chini Kanoute & Muzamiru hawawalindi mabeki zao vizuri pili hawako comfotable na mpira mguuni yan muda wowote wanapoteza pasi kirahisi saaaana,
Kazi yao kubwa ni
1-Bad pass
2-back pass
3-Bad pass
4-Back pass
Na wakishapoteza mpira ndio wana enjoy kukaba, hakuna timu yoyote duniani hata mtaani inayoweza kua na viungo wa chini aina iyo hata kidogo,
Huwez kukuta Aucho anapteza pasi kitoto ivyo?
Issa ndala anapoteza pasi kitoto ivyo,
Kelvin Nashon anapoteza pasi kitoto ivyo yan ni Viungo wa Simba tu. Yan hii timu waondolewe wachezaji wooote wa kigeni walete wapya wenye ubora wa hali ya juu saaana, Abaki Chama,Phiri na Inonga tu basi
Uto wanaenda kukeketwa liveKesho Jumatano ni siku ya wanawake[emoji3][emoji3]
Yanga wapumbavu sanaKwahiyo we ni shabiki wa Simba na imekuuma sana Simba kushinda na umeona Bora ijitoe kwakua haijafungwa?
Ivi mmeangalia mpira vzr kwel? Zile gape kwenye eneo la kiungo kwa vile tumekutana na Viper tu ndo maana mmeona hata kama wakipoteza pasi hawawez kutuchapa bakora za maana, ngoja twende hatua inayofuata ndo utajua nachoongea ni nini? Waarabu kwa ujinga ujinga huu walitulisha 3 na zilikua zinafika 5, kama wasipobadilila wale viungo wetu wawili mtakuja kuniambia hapa aiseeHuyo Aucho asiepoteza pasi mbona timu yake ipo Loosers championship.
Nipe takwimu za mechi ya janaJaman tuambiane ukweli, tunapoikosoa timu yetu tusionekana wabaya ama tuna chuki, tunatumia haki yetu ya kikatiba kutoa maoni.
Timu yetu Leo imeshinda bao 1 0 dhidi ya Vipers, sasa hivi tunatakiwa tuipige Horoya tufuzu.
Lakini huko tuendako uwezo wa timu ni kama ule wa Raja Casablanca, hivi jaman mpira ule kweli ni wa kiwango cha kwenda robo? Hivi Mo Dewji na Try Again wanaona kweli hii ndio Simba tuitakayo.
Yaani unaangalia mpira unapata maudhi unatamani uingie uwanjani ukawazabe makofi wachezaji.
Nimekasirika sana, mpira gani mbovu namna ile
..Kesho Jumatano ni siku ya wanawake[emoji3][emoji3]
Sio kwamba wewe ndio ujitoe kufuatiliafuatilia mambo yasiyokuhusu ya wanaume wa SIMBA SC?Jaman tuambiane ukweli, tunapoikosoa timu yetu tusionekana wabaya ama tuna chuki, tunatumia haki yetu ya kikatiba kutoa maoni.
Timu yetu Leo imeshinda bao 1 0 dhidi ya Vipers, sasa hivi tunatakiwa tuipige Horoya tufuzu.
Lakini huko tuendako uwezo wa timu ni kama ule wa Raja Casablanca, hivi jaman mpira ule kweli ni wa kiwango cha kwenda robo? Hivi Mo Dewji na Try Again wanaona kweli hii ndio Simba tuitakayo.
Yaani unaangalia mpira unapata maudhi unatamani uingie uwanjani ukawazabe makofi wachezaji.
Nimekasirika sana, mpira gani mbovu namna ile
Tutakapotokea ndio tutakapokuwa tunastahiliIvi mmeangalia mpira vzr kwel? Zile gape kwenye eneo la kiungo kwa vile tumekutana na Viper tu ndo maana mmeona hata kama wakipoteza pasi hawawez kutuchapa bakora za maana, ngoja twende hatua inayofuata ndo utajua nachoongea ni nini? Waarabu kwa ujinga ujinga huu walitulisha 3 na zilikua zinafika 5, kama wasipobadilila wale viungo wetu wawili mtakuja kuniambia hapa aisee
Shemeji kalala chumbani, Yeye kalala chumba Cha watoto anatype naye memba wa JfAmeshiba ubwabwa kwa shemeji yake anakuja kuisema Simba