Simba ijitoe Ligi ya Mabingwa, ni aibu kubwa kufuzu kwa mpira ule

We jamaa una kisirani sana,sa kwanini ajitoe akati anapambna [emoji1787]
 
Jaman tuambiane ukweli, tunapoikosoa timu yetu tusionekana wabaya ama tuna chuki, tunatumia haki yetu ya kikatiba kutoa maoni.

Timu yetu Leo imeshinda bao 1 0 dhidi ya Vipers, sasa hivi tunatakiwa tuipige Horoya tufuzu.

Lakini huko tuendako uwezo wa timu ni kama ule wa Raja Casablanca, hivi jaman mpira ule kweli ni wa kiwango cha kwenda robo? Hivi Mo Dewji na Try Again wanaona kweli hii ndio Simba tuitakayo.

Yaani unaangalia mpira unapata maudhi unatamani uingie uwanjani ukawazabe makofi wachezaji.

Nimekasirika sana, mpira gani mbovu namna ile
Kesho Jumatano ni siku ya wanawake😀😀
 
Mpira ni matokeo kule ulaya real Madrid inacheza mpira mbovu kwenye league lakini wakifika kwenye UEFA champions league wanapita na kombe wanachukua kila mwaka licha ya pira lao bovu Guardiola kila siku kwenye UEFA champions league anaangukia pua na pira biriani it's all about tactics and not possession.
Yetu macho!!tatizo lenu mahaba yanazidi hali halisi na ajabu mkija kutolewa mtaanza tena kupiga kelele wakati timu mbovu.
 
Huwez kua na viungo wawili wa chini Kanoute & Muzamiru hawawalindi mabeki zao vizuri pili hawako comfotable na mpira mguuni yan muda wowote wanapoteza pasi kirahisi saaaana,
Kazi yao kubwa ni
1-Bad pass
2-back pass
3-Bad pass
4-Back pass
Na wakishapoteza mpira ndio wana enjoy kukaba, hakuna timu yoyote duniani hata mtaani inayoweza kua na viungo wa chini aina iyo hata kidogo,
Huwez kukuta Aucho anapteza pasi kitoto ivyo?
Issa ndala anapoteza pasi kitoto ivyo,
Kelvin Nashon anapoteza pasi kitoto ivyo yan ni Viungo wa Simba tu. Yan hii timu waondolewe wachezaji wooote wa kigeni walete wapya wenye ubora wa hali ya juu saaana, Abaki Chama,Phiri na Inonga tu basi
Ujinga.
 
Jaman tuambiane ukweli, tunapoikosoa timu yetu tusionekana wabaya ama tuna chuki, tunatumia haki yetu ya kikatiba kutoa maoni.

Timu yetu Leo imeshinda bao 1 0 dhidi ya Vipers, sasa hivi tunatakiwa tuipige Horoya tufuzu.

Lakini huko tuendako uwezo wa timu ni kama ule wa Raja Casablanca, hivi jaman mpira ule kweli ni wa kiwango cha kwenda robo? Hivi Mo Dewji na Try Again wanaona kweli hii ndio Simba tuitakayo.

Yaani unaangalia mpira unapata maudhi unatamani uingie uwanjani ukawazabe makofi wachezaji.

Nimekasirika sana, mpira gani mbovu namna ile
Acha WIVU utakuua
 
Yetu macho!!tatizo lenu mahaba yanazidi hali halisi na ajabu mkija kutolewa mtaanza tena kupiga kelele wakati timu mbovu.
Lini Simba ilikuwa nzuri ikafika nusu fainali? Acha ujuaji hata wakitolewa watarudi mwakani panapo majaaliwa
 
Huwez kua na viungo wawili wa chini Kanoute & Muzamiru hawawalindi mabeki zao vizuri pili hawako comfotable na mpira mguuni yan muda wowote wanapoteza pasi kirahisi saaaana,
Kazi yao kubwa ni
1-Bad pass
2-back pass
3-Bad pass
4-Back pass
Na wakishapoteza mpira ndio wana enjoy kukaba, hakuna timu yoyote duniani hata mtaani inayoweza kua na viungo wa chini aina iyo hata kidogo,
Huwez kukuta Aucho anapteza pasi kitoto ivyo?
Issa ndala anapoteza pasi kitoto ivyo,
Kelvin Nashon anapoteza pasi kitoto ivyo yan ni Viungo wa Simba tu. Yan hii timu waondolewe wachezaji wooote wa kigeni walete wapya wenye ubora wa hali ya juu saaana, Abaki Chama,Phiri na Inonga tu basi
Maajabu ya Karne haya,
Yaani Kanoute na Mzamiru walioifikisha Simba hatua ya Makundi klabu bingwa afrika na mpaka sasa ikiwa nafasi ya pili katika kundi lake huku zikisalia mechi 2 tu wajifunze kwa Aucho mchezaji wa Yanga ambaye timu yake haijawahi kufuzu hatua hiyo tangu mwaka 1998 (Miaka 25 sasa) au Issa Ndala ambaye ameshindwa hata kuiwezesha azam kucheza hatua ya makundi ya kombe la walioshindwa??
 
Nimewapenda bure chama langu Simba humu kwny huu uzi...
Vivaa Simbaa
Huo ubovu ni namba mbili kwenye ligi ya nbc
Huo ubovu ni timu yenye magoli mengi kuliko timu zote NBc
Sema tuu kitu kikishasambaa na masikio yakizoea huaminisha hivyo...
Ila Simba sio mbaya..labda huo ubaya uipime Vs Raja ambayo kwny kundi imewabamiza wote..
 
Kukosoa ni kazi rahisi sana ndo maana wajinga wengi huwa wanaweza hii kazi

Hivi ushawahi kusikia duniani timu inajitoa kwenye michuano kisa ni kiwango.

20230307_235009.jpg
 
Huyo Aucho asiepoteza pasi mbona timu yake ipo Loosers championship.
Ivi mmeangalia mpira vzr kwel? Zile gape kwenye eneo la kiungo kwa vile tumekutana na Viper tu ndo maana mmeona hata kama wakipoteza pasi hawawez kutuchapa bakora za maana, ngoja twende hatua inayofuata ndo utajua nachoongea ni nini? Waarabu kwa ujinga ujinga huu walitulisha 3 na zilikua zinafika 5, kama wasipobadilila wale viungo wetu wawili mtakuja kuniambia hapa aisee
 
Hivi kwa mpira huo wa jana Mungu saidia tumevuka hatua inayofuata tutamfunga nan kila aliyeongoza kundi au ndo tusubilie Aibu tu nje ndan
 
Jaman tuambiane ukweli, tunapoikosoa timu yetu tusionekana wabaya ama tuna chuki, tunatumia haki yetu ya kikatiba kutoa maoni.

Timu yetu Leo imeshinda bao 1 0 dhidi ya Vipers, sasa hivi tunatakiwa tuipige Horoya tufuzu.

Lakini huko tuendako uwezo wa timu ni kama ule wa Raja Casablanca, hivi jaman mpira ule kweli ni wa kiwango cha kwenda robo? Hivi Mo Dewji na Try Again wanaona kweli hii ndio Simba tuitakayo.

Yaani unaangalia mpira unapata maudhi unatamani uingie uwanjani ukawazabe makofi wachezaji.

Nimekasirika sana, mpira gani mbovu namna ile
Nipe takwimu za mechi ya jana
 
Sio kwamba wewe ndio ujitoe kufuatiliafuatilia mambo yasiyokuhusu ya wanaume wa SIMBA SC?
 
Ivi mmeangalia mpira vzr kwel? Zile gape kwenye eneo la kiungo kwa vile tumekutana na Viper tu ndo maana mmeona hata kama wakipoteza pasi hawawez kutuchapa bakora za maana, ngoja twende hatua inayofuata ndo utajua nachoongea ni nini? Waarabu kwa ujinga ujinga huu walitulisha 3 na zilikua zinafika 5, kama wasipobadilila wale viungo wetu wawili mtakuja kuniambia hapa aisee
Tutakapotokea ndio tutakapokuwa tunastahili

Kwahyo hilo suala la mapungufu ya uwanjani ni jukumu la kocha kurekebisha na hakuna anaepinga kuwa timu haina udhaifu

Shida mnaongea kama vile timu haikustahili kuwepo ilipo ila waliopo Loosers cup ndio walistahili

Ndugu zangu Champions League ushiriki timu za kibabe tu sio shirikisho

Ndio maana ukiangalia huku upande wa mabingwa timu inayoonekana dhaifu inaweza kuongoza kundi shirikisho.
 
Back
Top Bottom