The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Timu imemaliza ya tatu ...hawakupaswa kabisa kucheza ngao ya jamii...ngapi ya jamii siku zote ni wa kwanza na WA pili...
Kulazimisha derby mapema wakati Simba wamesajili wapya Wengi na wanahitaji muunganiko kwanza...haikuwa sahihi...
Madhara yake ni mashabiki wanaweza susa tena kwenda uwanjani iwapo team itafungwa nyingi....
Au kocha kupoteza Imani au baadhi ya wachezaji kuanzia hata kuzomewa na Mashabiki kisa mechi moja ambayo haikuwa na ulazima...kabisa....
TFF acheni hii ya kugeuza ngapi ya jamii kuwa mechi nyingi na kuingiza wasiosatahili.... Kuingia
Simba wanahitaji mda kurudi kwenye level yake ...mechi hizi zenye ushabiki kuliko uhalisia hazifai mapema hivi...