Simba ikifungwa lawama ni za TFF

Simba ikifungwa lawama ni za TFF

TFF WANAANGALIA HELA TU, HAWAJUI DAMU ITAMWAGIKA SIMBA IKIFUNGWA?

MASHABIKI MBUMBUMBU (...ADEN RAGE) WANATAKA USHINDI TU BILA KUJALI UBORA WA TIMU YAO. LEO VITI VITANG'OLEWA NA MO-DEWJI ATASINDIKIZWA NA POLISI BAADA YA MECHI.

HII COMMENT IIHIFADHIWE KWA FAIDA YA VIZAZI VIJAVYO.
 
Vp kama simba ndie angekuwa anacheza na coastal?
 
Haijaanza leo, ni kwa kuwa umechelewa kuanza kufuatilia soka. Ngao ya Jamii ilipoanza, washindani walikuwa niBingwa wa Ligi vs Bingwa wa FA (bila kujali amekuwa wa ngapi katika ligi). Msimu wa 2019/2020, Ngao ya Hisani ilikuwa kati ya Simba na Namungo, mchezo uliopigwa pale Sumbawanga. Lakini katika msimu huo, Simba ilikuwa ni Bingwa wa Ligi na Namungo ilikuwa katika nafasi ya Nne. Tiketi ya Namungo kucheza Ngao ya Hisani haikuwa nafasi yake katika ligi, bali ni nafasi yake katika kombe la FA. Tatizo la mashabiki wengi wa Yanga bado linadumu miaka kwa miaka, yaani kuilalamikia TFF hata kwa mambo ya kijinga

View attachment 3064636
Wewe ni mpumbavu, mleta mada The Boss ni Simba lialia, vitoto vya juzi JF hamuwezi kumjuwa The Boss
 
Wewe ni mpumbavu, mleta mada The Boss ni Simba lialia, vitoto vya juzi JF hamuwezi kumjuwa The Boss

1723131669304.png
 
Sasa si mngegoma kwenda uwanjani?
Mmeshaanza kutafuta sababu 🤣🤣🤣

MAKOLO NI MAKOLO TU
 
Back
Top Bottom