OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahhahhahaha umejuaje mkuuu au uliruka nae
Kulitaka MWANA kulipewa MWANA..Mgambo huyu ana tabu sana,tutamuwinda hapa Polisi Mabibo mpaka atembee uchi
Teh teh teh,karma ni noma,akiusoma huu Uzi wake anatamani aufute maana malipo yamewadia. Na huu Uzi auone Jiwe na wapambe wake wote wanaohubiri Uzalendo feki.Mi nakuunga mkono hapa mkuu
TP Mazembe tupo pamoja na nyinyi kwa hali na mali hapo kesho
Kesho Mungu akipenda pale uwanja wa Taifa, Yanga na TP Mazembe watakipiga. Inashauriwa sana watanzania wote tuweke uzalendo mbele eti Yanga inawakilisha nchi. Hakuna kitu kama hicho, Yanga inawakilisha Yanga. Nipo huru kuwa timu yeyote na nitakuwa TP Mazembe na wenzangu tunaokerwa na Yanga...www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitaona tigo isiyo na marinda bure bure
Haaaa 😂Huyo mzee kwa hiko kitambi hata nafasi ya kuuona uchi haitakuwepo