Simba ikiifunga TP Mazembe natembea uchi Mabibo

Simba ikiifunga TP Mazembe natembea uchi Mabibo

Mi nakuunga mkono hapa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mgambo huyu ana tabu sana,tutamuwinda hapa Polisi Mabibo mpaka atembee uchi
 
Mi nakuunga mkono hapa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh teh,karma ni noma,akiusoma huu Uzi wake anatamani aufute maana malipo yamewadia. Na huu Uzi auone Jiwe na wapambe wake wote wanaohubiri Uzalendo feki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitaona tigo isiyo na marinda bure bure
tapatalk_1553855192400.gif
 
Semeni tu mnatangaza biashara ya misambwanda
 
Back
Top Bottom