Naughty by nature
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 2,123
- 2,359
Usije ukakanushaHabar wakuu,
Siwezi kuafiki ya kuwa simba ataifunga yanga tarehe 5 yaani hata kwa kunyoshewa mtutu mie nitaendelea kupinga tu.
Yaani kwa yanga hii yenye
High quality player
- Kipa bora
- Beki bora
- Viungo wa kati bora
- Viungo wa pembeni bora
Plus good performance
Yaani naona simba ikijitahidi sana anatoa draw tu, asiyekubali atakubali siku ya tarehe 5
Wewe si mshabiki kindakindaki, tangaza vitu vya maana tujue kweli unaipenda gongowaziNdo maarifa uliyofunzwa ndani na nje wakubwa??
Na wewe tangaza basi ufannywe nini kama mkipasuliwaNi ukweli ulio wazi, ndani ya hii miaka mitatu, Yanga imekuwa na kikosi bora ukilinganisha na wadogo zao simba. Na ndiyo maana imeweza kuchukua ubingwa wa Ligi kuu kwa mara mbili mfululizo.
Ila unapokuja kwenye mechi zao za Derby, siku zote mchezo huamuliwa na ile timu itakayokuja na mpango mkakati wa kupata matokeo ndani ya dakika 90! Na siyo kutokana na ubora wa wachezaji.
So kwa upande wangu naamini mchezo wa kesho hautakuwa mwepesi. Ingawa nina imani na timu yangu ya Wananchi. Ushindi ni munimu ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kuutetea ubingwa kwa mara nyingine tena.
Ahadi za kijinga hizi si unaweza kubadilisha I'd tu Sisi tunataka tukufanye kama kabwili alivyofanywa na mukoko tanombe.Habar wakuu,
Siwezi kuafiki ya kuwa simba ataifunga yanga tarehe 5 yaani hata kwa kunyoshewa mtutu mie nitaendelea kupinga tu.
Yaani kwa yanga hii yenye
High quality player
- Kipa bora
- Beki bora
- Viungo wa kati bora
- Viungo wa pembeni bora
Plus good performance
Yaani naona simba ikijitahidi sana anatoa draw tu, asiyekubali atakubali siku ya tarehe 5
@moderatorHabar wakuu,