Simba ikiifunga Yanga naomba nipigwe ban

Simba ikiifunga Yanga naomba nipigwe ban

Habar wakuu,

Siwezi kuafiki ya kuwa simba ataifunga yanga tarehe 5 yaani hata kwa kunyoshewa mtutu mie nitaendelea kupinga tu.

Yaani kwa yanga hii yenye

High quality player
  • Kipa bora
  • Beki bora
  • Viungo wa kati bora
  • Viungo wa pembeni bora

Plus good performance

Yaani naona simba ikijitahidi sana anatoa draw tu, asiyekubali atakubali siku ya tarehe 5
Usije ukakanusha
 
Ni ukweli ulio wazi, ndani ya hii miaka mitatu, Yanga imekuwa na kikosi bora ukilinganisha na wadogo zao simba. Na ndiyo maana imeweza kuchukua ubingwa wa Ligi kuu kwa mara mbili mfululizo.

Ila unapokuja kwenye mechi zao za Derby, siku zote mchezo huamuliwa na ile timu itakayokuja na mpango mkakati wa kupata matokeo ndani ya dakika 90! Na siyo kutokana na ubora wa wachezaji.

So kwa upande wangu naamini mchezo wa kesho hautakuwa mwepesi. Ingawa nina imani na timu yangu ya Wananchi. Ushindi ni munimu ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kuutetea ubingwa kwa mara nyingine tena.
Na wewe tangaza basi ufannywe nini kama mkipasuliwa
 
Habar wakuu,

Siwezi kuafiki ya kuwa simba ataifunga yanga tarehe 5 yaani hata kwa kunyoshewa mtutu mie nitaendelea kupinga tu.

Yaani kwa yanga hii yenye

High quality player
  • Kipa bora
  • Beki bora
  • Viungo wa kati bora
  • Viungo wa pembeni bora

Plus good performance

Yaani naona simba ikijitahidi sana anatoa draw tu, asiyekubali atakubali siku ya tarehe 5
Ahadi za kijinga hizi si unaweza kubadilisha I'd tu Sisi tunataka tukufanye kama kabwili alivyofanywa na mukoko tanombe.
 
Maadui wakubwa Wa Taifa letu ni

"Umasikini.
Ujinga.
Maradhi."

Julius kambarage Nyerere.
RIP BABA WA TAIFA.
 
Habar wakuu,

Siwezi kuafiki ya kuwa simba ataifunga yanga tarehe 5 yaani hata kwa kunyoshewa mtutu mie nitaendelea kupinga tu.

Yaani kwa yanga hii yenye

High quality player
  • Kipa bora
  • Beki bora
  • Viungo wa kati bora
  • Viungo wa pembeni bora

Plus good performance

Yaani naona simba ikijitahidi sana anatoa draw tu, asiyekubali atakubali siku ya tarehe 5
@moderator
 
Back
Top Bottom