Simba ikikutana na Mamelodi Sundowns Nchi itapata Aibu ya mwaka

Mr Alpha

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2018
Posts
273
Reaction score
765
Ninaposema vilabu vyetu vijiandae kimkakati robo fainali klabu bingwa Afrika huwa namaanisha viache mpira wa mazoea kufosi matokeo ya papatu papatu, vicheze soka la viwango kiufundi

Mfano leo Simba wamelambishwa juice yenye upupu sababu ya kucheza mechi bila mipango kila mtu anabutua butua hakuna muunganiko

Wakiingia kwa style hii mbele ya Al Ahly au Mamelod Sundowns kichapo watachopewa mtakuja kunisimulia wenyewe humu

Nko nmekaa pale
 
Mnatuwaza sana wadau
 
Watabadilika wakikutana na hizo team
 
Mnatuwaza sana wadau
20240306_211557.jpg

Wanahangaika sana
 
Mamelod huyo aliyefungwa na Waydad, kafungwa na Aly ahily, juzi amefunga Tp Mazembe kwa mbinde, Mamelod wako vizuri lakini wako overated sana, Mamelod kwa mkapa hawatoki.
Kwa uwekezaji wa Mamelod vs vilabu vyetu ni ngumu sana kuwa nockout. Tusijitie moyo bure.
Tutashukuru tu banda umiza watapiga pesa ndefu.
 
Mamelod huyo aliyefungwa na Waydad, kafungwa na Aly ahily, juzi amefunga Tp Mazembe kwa mbinde, Mamelod wako vizuri lakini wako overated sana, Mamelod kwa mkapa hawatoki.
Utopolo mnajitoa ufahamu sana.. Mamelody wenyewe wanaomba wasikutane na Simba. Kila timu ya pot 1 inatamani ikutane na Uto
 
Back
Top Bottom