Mr Alpha
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 273
- 765
Ninaposema vilabu vyetu vijiandae kimkakati robo fainali klabu bingwa Afrika huwa namaanisha viache mpira wa mazoea kufosi matokeo ya papatu papatu, vicheze soka la viwango kiufundi
Mfano leo Simba wamelambishwa juice yenye upupu sababu ya kucheza mechi bila mipango kila mtu anabutua butua hakuna muunganiko
Wakiingia kwa style hii mbele ya Al Ahly au Mamelod Sundowns kichapo watachopewa mtakuja kunisimulia wenyewe humu
Nko nmekaa pale