Mnatuwaza sana wadauNinaposema vilabu vyetu vijiandae kimkakati robo fainali klabu bingwa Afrika huwa namaanisha viache mpira wa mazoea kufosi matokeo ya papatu papatu, vicheze soka la viwango kiufundi
Mfano leo Simba wamelambishwa juice yenye upupu sababu ya kucheza mechi bila mipango kila mtu anabutua butua hakuna muunganiko
Wakiingia kwa style hii mbele ya Al Ahly au Mamelod Sundowns kichapo watachopewa mtakuja kunisimulia wenyewe humu
Nko nmekaa pale
Watabadilika wakikutana na hizo teamNinaposema vilabu vyetu vijiandae kimkakati robo fainali klabu bingwa Afrika huwa namaanisha viache mpira wa mazoea kufosi matokeo ya papatu papatu, vicheze soka la viwango kiufundi
Mfano leo Simba wamelambishwa juice yenye upupu sababu ya kucheza mechi bila mipango kila mtu anabutua butua hakuna muunganiko
Wakiingia kwa style hii mbele ya Al Ahly au Mamelod Sundowns kichapo watachopewa mtakuja kunisimulia wenyewe humu
Nko nmekaa pale
Hata ile mechi prisons vs yangaIla kusema ukweli kikosi cha Tanzania Prisons kimeimarika sana. Yaani wanacheza total football! Hongera nyingi kwa mwalimu anayeifundisha hii timu.
Hawatoki kwa Simba hii?Mamelod huyo aliyefungwa na Waydad, kafungwa na Aly ahily, juzi amefunga Tp Mazembe kwa mbinde, Mamelod wako vizuri lakini wako overated sana, Mamelod kwa mkapa hawatoki.
Daah na hapa unafatilia kweli Mpira inakupa kumbukumbu hizi kuwa Mamelodi alifungwa na hizo Timu ulizotaja...Mamelod huyo aliyefungwa na Waydad, kafungwa na Aly ahily, juzi amefunga Tp Mazembe kwa mbinde, Mamelod wako vizuri lakini wako overated sana, Mamelod kwa mkapa hawatoki.
Mtapangiwa Petro au wakiamua watawarudisha SA kama kawaida ili Yanga wapewe Petro...Hawatoki kwa Simba hii?
Kwa uwekezaji wa Mamelod vs vilabu vyetu ni ngumu sana kuwa nockout. Tusijitie moyo bure.Mamelod huyo aliyefungwa na Waydad, kafungwa na Aly ahily, juzi amefunga Tp Mazembe kwa mbinde, Mamelod wako vizuri lakini wako overated sana, Mamelod kwa mkapa hawatoki.
Utopolo mnajitoa ufahamu sana.. Mamelody wenyewe wanaomba wasikutane na Simba. Kila timu ya pot 1 inatamani ikutane na UtoMamelod huyo aliyefungwa na Waydad, kafungwa na Aly ahily, juzi amefunga Tp Mazembe kwa mbinde, Mamelod wako vizuri lakini wako overated sana, Mamelod kwa mkapa hawatoki.