Simba ikikutana na Mamelodi Sundowns Nchi itapata Aibu ya mwaka

Unafikiri Simba ni kama Yanga iliyopigwa 3-0 na Buolzdad?
Simba ilifungwa na Yanga 5-1 na cha ajabu ilitoka na Al Ahly 2-2 na Misri 1-1 na cha kuhuzunisha Yanga ilipigwa 1-0.
Yanga hana uwezo wa kuifunga Al Ahly, Wydad na Mamelod ila Simba anaweza 100% na Yanga kwa timu kubwa huwa anaziogopa sana.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
simba ni kama gari bovu kila siku gereji
Yanga na ubora wao wakala 3-0 na Misri wakala chuma 1-0 na Al Ahly. Katika timu zilizofungwa magoli mengi champion league Yanga imoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Nilikuwa nawaona wanavyojigamba wanaenda kuifunga Al Ahly huko MisriπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Pole kwa kuzimia uwanjaniπŸ˜€πŸ˜€
 
Acha kuota, tuambie kama hizo timu mulishawahi kuzitoa kwenye hatua ya mtoano?
 
Acha kuota, tuambie kama hizo timu mulishawahi kuzitoa kwenye hatua ya mtoano?
Kwanini uongelee Simba?
Ongelea Yanga vs Mamelod
Yanga vs Al Ahly au Yanga vs Wydad.
Mashabiki wa Yanga wanashangaza sana πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kwanini uongelee Simba?
Ongelea Yanga vs Mamelod
Yanga vs Al Ahly au Yanga vs Wydad.

Mashabiki wa Yanga wanashangaza sana πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Dah! Kwani kwenye robo final hii kuna uwezekano wa YANGA vs Ahly au vs Wydad?
Vichekesho sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…