Simba ikikutana na Mamelodi Sundowns Nchi itapata Aibu ya mwaka

Ninaposema vilabu vyetu vijiandae kimkakati robo fainali klabu bingwa Afrika huwa namaanisha viache mpira wa mazoea kufosi matokeo ya papatu papatu, vicheze soka la viwango kiufundi

Mfano leo Simba wamelambishwa juice yenye upupu sababu ya kucheza mechi bila mipango kila mtu anabutua butua hakuna muunganiko

Wakiingia kwa style hii mbele ya Al Ahly au Mamelod Sundowns kichapo watachopewa mtakuja kunisimulia wenyewe humu

Nko nmekaa pale
Unafikiri Simba ni kama Yanga iliyopigwa 3-0 na Buolzdad?
Simba ilifungwa na Yanga 5-1 na cha ajabu ilitoka na Al Ahly 2-2 na Misri 1-1 na cha kuhuzunisha Yanga ilipigwa 1-0.
Yanga hana uwezo wa kuifunga Al Ahly, Wydad na Mamelod ila Simba anaweza 100% na Yanga kwa timu kubwa huwa anaziogopa sana.😀😀😀
 
simba ni kama gari bovu kila siku gereji
Yanga na ubora wao wakala 3-0 na Misri wakala chuma 1-0 na Al Ahly. Katika timu zilizofungwa magoli mengi champion league Yanga imo😀😀😀😀
Nilikuwa nawaona wanavyojigamba wanaenda kuifunga Al Ahly huko Misri😀😀😀
Pole kwa kuzimia uwanjani😀😀
 
Acha kuota, tuambie kama hizo timu mulishawahi kuzitoa kwenye hatua ya mtoano?
 
Kwanini uongelee Simba?
Ongelea Yanga vs Mamelod
Yanga vs Al Ahly au Yanga vs Wydad.
Mashabiki wa Yanga wanashangaza sana 😀😀😀😀😀
 
Dah! Kwani kwenye robo final hii kuna uwezekano wa YANGA vs Ahly au vs Wydad?
Vichekesho sana
 
Back
Top Bottom