Simba ikimfunga power Dynamo mje mnipige vibao

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]unaota wewe. Timu zote za TZ yan simba na yanga zinavuka hii hatua ikiwezekana zote kwenda hata robo fainali. Tunza haya maneno yangu
Yanga atavuka .... smoothly
 
Mimi ni Yanga dam!! Hilo halina ubishi. Ila nina imani timu zote 2 (Yanga na simba) zitafuzu hatua ya makundi. Hofu yangu ipo kwa Singida Fountain Gaye pakee.

Maana ushindi wa nyumbani wa goli 1 - 0! Kwa Waarabu ni ushindi mwembamba sana. Yaani wasipokuwa makini wataangushiwa mvua ya magoli.
 
KALABA: KAMA JWANENG GALAXY [emoji1052] WALIWEZA,KWANINI ISIWE POWER DYNAMOS?
.
"Kwenye mechi ya Simba dhidi ya Power Dynamos [emoji1268] yeyote ana nafasi ya kufuzu....kwenye mpira wa Miguu lolote linaweza kutoka.Mechi ya kwanza ilikuwa kama Kipindi cha kwanza tu,Kwahiyo wanatakiwa kujiamini na kujiandaa kiakili kwa sababu kucheza ugenini kwa mazingira ya Kiafrika sio rahisi"

Kwa kikosi hiki Cha mtumba Cha makolo.....ni ngumu kutoboa makundi .....coz kule hakuna referee wa kuwapa free penalty as a bonus

Kutokuwepo Kwa inonga itafanya ukuta wa Simba [emoji250][emoji250][emoji250] kufikika kirahisi hivyo kufungwa

Uwepo wa kipa wa mchongo [emoji1].....kutaizamamisha Simba [emoji250][emoji250] jitihada nyingi zifanyike na beki line

NB makolo ahsanteni Kwa kushiriki michuano ya club bingwaView attachment 2767339
Unapatikana wapi mkuu?
 
Itategemea KIBAO cha wapi,kama cha kwenye MAKALIO hayo YES nitakuja maana yanaonekana malaini sana hayo,yanafaa kwa matumizi
 
KALABA: KAMA JWANENG GALAXY [emoji1052] WALIWEZA,KWANINI ISIWE POWER DYNAMOS?
.
"Kwenye mechi ya Simba dhidi ya Power Dynamos [emoji1268] yeyote ana nafasi ya kufuzu....kwenye mpira wa Miguu lolote linaweza kutoka.Mechi ya kwanza ilikuwa kama Kipindi cha kwanza tu,Kwahiyo wanatakiwa kujiamini na kujiandaa kiakili kwa sababu kucheza ugenini kwa mazingira ya Kiafrika sio rahisi"

Kwa kikosi hiki Cha mtumba Cha makolo.....ni ngumu kutoboa makundi .....coz kule hakuna referee wa kuwapa free penalty as a bonus

Kutokuwepo Kwa inonga itafanya ukuta wa Simba [emoji250][emoji250][emoji250] kufikika kirahisi hivyo kufungwa

Uwepo wa kipa wa mchongo [emoji1].....kutaizamamisha Simba [emoji250][emoji250] jitihada nyingi zifanyike na beki line

NB makolo ahsanteni Kwa kushiriki michuano ya club bingwaView attachment 2767339
simba wayashinda tu
 
Aahaaaaa
 
Back
Top Bottom