Simba ikimsajili Kevin Nashon nitafurahi sana

Walio karibu na wakuu wa simba muwaambie kuna fundi anaitwa yusuph kagoma pale geita,mkichukua yule basi geita imekwisha
 
Yaleyale ya kina Nelson kapama na victor Akpan..

Tukubaliane Kuna wachezaji wakucheza timu za kawaida na wachezaji wa kucheza timu kubwa..

Sio kila mchezaji akiwika hizi timu za kawaida basi anaweza kuja ku perform Simba na Yanga
Huyu Nerson Kapama ni raia wa wapi?
 
Yaleyale ya kina Nelson kapama na victor Akpan..

Tukubaliane Kuna wachezaji wakucheza timu za kawaida na wachezaji wa kucheza timu kubwa..

Sio kila mchezaji akiwika hizi timu za kawaida basi anaweza kuja ku perform Simba na Yanga
Mfano mzuri ni muombewa uraia Kibu Denis.
 
Hahaaaa....
Hivi kwa mtu aliyekaa Zanzibar maana ya ufudu inaweza kurandana na nini?

Ufudu alikuwa mtoto wa Panga la Shaba....Kwa wanaojua hadithi hizo za vitabu vya kuchora za zamani...kama mtu hajui ni story ndefu kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…