Smart AJ
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 5,564
- 5,884
Ally Ufudu hapana
Kevin Nashon yes ni mzuri ila kama tunaweza tumuombe Bryson Raphael (captain wa Azam jina lake jipya nmelisahau)
Yule sasa ndo nyoko..yule mwamba bajana ni hatari sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ally Ufudu hapana
Kevin Nashon yes ni mzuri ila kama tunaweza tumuombe Bryson Raphael (captain wa Azam jina lake jipya nmelisahau)
Mkuu, kwa Fei Toto anasubiri sana labda kwenye kuchapa kiatu!
Sospeter BajanaAlly Ufudu hapana
Kevin Nashon yes ni mzuri ila kama tunaweza tumuombe Bryson Raphael (captain wa Azam jina lake jipya nmelisahau)
Pilau ni viungo so the football.Wewe ni shabiki Bora. Hata mlinganisho wako unaendana na uhalisia.
Shika adabu yako Kwa Puttin.Kelvin Nashin anajua sana na siku nyingi tu anaumeaga mwingi. Lakini mzamiru ana masaada mkubwa sana kwa Simba. Nfkiri ukiwa na Kelvin huna sababu ya kuwa na Kanuti. Wamtoe Kanuti/Mkude
Ni kweli viungo wakabaji tunaweza kuwapata humu humu ndani hatuhitaji ma Pro! Tuimarishe viungo washambuliaji, namba 9 wa asili basi! Viungo wakabaji, mabeki wa pembeni wapo nchi hii akiwemo yule dogo wa Kagera sugar.Kelvin Nashin anajua sana na siku nyingi tu anaumeaga mwingi. Lakini mzamiru ana masaada mkubwa sana kwa Simba. Nfkiri ukiwa na Kelvin huna sababu ya kuwa na Kanuti. Wamtoe Kanuti/Mkude
Shika mawazo yako.Shika adabu yako Kwa Puttin.
Umenifanya nitafute transfer fee ya ya huyo jamaa na yule mido wa Azam mweusi mwenye rasta ili niangalie na ubora wao unaokufanya uongee hivi halafu nimlinganishe K.Nashon aliyekuwa Bora ktk timu ya kawaida kwa misimu miwili na huyo ngongoti mcheza rafu siziso na mpango mwenye assist ya Caf moja.Shika adabu yako Kwa Puttin.
Kelvin Nashon sawa dogo anajua sana ila tungempata Sospeter Bajana wa azam fc ingekuwa bingo sana
Anakamia sana na kupata injury za hovyo hovyo anaitwa Israel Sospeter Bajana.Ally Ufudu hapana
Kevin Nashon yes ni mzuri ila kama tunaweza tumuombe Bryson Raphael (captain wa Azam jina lake jipya nmelisahau)
Mwisho wa siku hujashauri wafanyaje. Waache kusajili?Mlisema hivyo hivyo kwa nasoro kapama sijui ni versatile player ila profile ya simba imekuwa kubwa sana kuliko yeye haendani na club ya simba labda kagera sugar huko.
Simba sijui scout yake ina shida gani. Unaacha kuona jitu kama hili unamsajili KibuYule sasa ndo nyoko..yule mwamba bajana ni hatari sana
Mimi nilishasema sio sawa kuweka uzungu 100%. Kama kuna fala anapiga misumari watu lazima kuna tetesi, wamuache kwa gharama yeyote. Analeta hasara kwa timuNi damu changa na kipaji kikubwa! Tatizo kubwa Simba ni misumari, hili ni muhimu zitafutwe kila njia kulimaliza. Kupata namba ya kudumu Simba baadhi ya wachezaji wanaumizana wenyewe!
Shomari Kapombe juzi kaweka wazi amepona kwa maombi na anashinda na rozari shingoni! Ajabu amepona yeye Bwana mdogo Israel Mwenda majeruhi! Inafikirisha sana.
Simba sijui scout yake ina shida gani. Unaacha kuona jitu kama hili unamsajili Kibu