Simba ikimsajili Kevin Nashon nitafurahi sana

Simba ikimsajili Kevin Nashon nitafurahi sana

Mkuu, kwa Fei Toto anasubiri sana labda kwenye kuchapa kiatu!

Inabidi ujue kuwa wanacheza namba tofauti..fei ni mshambuliaji afu jamaa ni mkabaji ila akicheza na fei,fei lazima apotee yule dogo ana shughuli nzito
 
Ni damu changa na kipaji kikubwa! Tatizo kubwa Simba ni misumari, hili ni muhimu zitafutwe kila njia kulimaliza. Kupata namba ya kudumu Simba baadhi ya wachezaji wanaumizana wenyewe!

Shomari Kapombe juzi kaweka wazi amepona kwa maombi na anashinda na rozari shingoni! Ajabu amepona yeye Bwana mdogo Israel Mwenda majeruhi! Inafikirisha sana.
 
Kelvin Nashin anajua sana na siku nyingi tu anaumeaga mwingi. Lakini mzamiru ana masaada mkubwa sana kwa Simba. Nfkiri ukiwa na Kelvin huna sababu ya kuwa na Kanuti. Wamtoe Kanuti/Mkude
Ni kweli viungo wakabaji tunaweza kuwapata humu humu ndani hatuhitaji ma Pro! Tuimarishe viungo washambuliaji, namba 9 wa asili basi! Viungo wakabaji, mabeki wa pembeni wapo nchi hii akiwemo yule dogo wa Kagera sugar.
 
Nashoni ni mzuri mno kwa timu za kati ila akija huku mtamuona wa kawaida sana kwa atakacho fanya....bado nina imani na akpan japo kuwa anaonekana hana uwezo kwa kuwa hapewi nafasi ya kutosha

Mpaka sasa hajacheza hata dk 40 katika ligi lakin anaonekana hafai.
 
Yaleyale ya kina Nelson kapama na victor Akpan..

Tukubaliane Kuna wachezaji wakucheza timu za kawaida na wachezaji wa kucheza timu kubwa..

Sio kila mchezaji akiwika hizi timu za kawaida basi anaweza kuja ku perform Simba na Yanga
 
Shika adabu yako Kwa Puttin.
Umenifanya nitafute transfer fee ya ya huyo jamaa na yule mido wa Azam mweusi mwenye rasta ili niangalie na ubora wao unaokufanya uongee hivi halafu nimlinganishe K.Nashon aliyekuwa Bora ktk timu ya kawaida kwa misimu miwili na huyo ngongoti mcheza rafu siziso na mpango mwenye assist ya Caf moja.
 
Kelvin Nashon sawa dogo anajua sana ila tungempata Sospeter Bajana wa azam fc ingekuwa bingo sana
 
Ally Ufudu hapana

Kevin Nashon yes ni mzuri ila kama tunaweza tumuombe Bryson Raphael (captain wa Azam jina lake jipya nmelisahau)
Anakamia sana na kupata injury za hovyo hovyo anaitwa Israel Sospeter Bajana.

Kkwa Nahashoni Naftali sawa kwanza ni mdogo sana bila shaka 22 yrs ana 8-10 years ya kuwa top player.
 
Ni damu changa na kipaji kikubwa! Tatizo kubwa Simba ni misumari, hili ni muhimu zitafutwe kila njia kulimaliza. Kupata namba ya kudumu Simba baadhi ya wachezaji wanaumizana wenyewe!

Shomari Kapombe juzi kaweka wazi amepona kwa maombi na anashinda na rozari shingoni! Ajabu amepona yeye Bwana mdogo Israel Mwenda majeruhi! Inafikirisha sana.
Mimi nilishasema sio sawa kuweka uzungu 100%. Kama kuna fala anapiga misumari watu lazima kuna tetesi, wamuache kwa gharama yeyote. Analeta hasara kwa timu
 
Vipi kina Bobosi na Manzoki hamuwawezi tena?
Maji ya shingo ngada fc
 
Simba sijui scout yake ina shida gani. Unaacha kuona jitu kama hili unamsajili Kibu

Mkuu kama kibu akiwa kwenye kiwango chake,huwa ana kazi kubwa sana pale simba ni basi tu anapitia maswaibu ya saikolojia
 
Back
Top Bottom