Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,438
- 1,496
sanaaBia tamu
Ogopa vita ya kupigana na adui kulinda heshima ya familia huku mkeo na watoto wanamsaidia adui kwa kumpa mbinu unazozitumia ktk hiyo vitaSina maneno hivi vita ni hatari sanaa
hivyo Mnyama akiondolewa tusilaumiane mana hata Mama anajua hilo!
Ogopa vita ya kupigana na adui kulinda heshima ya familia huku mkeo na watoto wanamsaidia adui kwa kumpa mbinu unazozitumia ktk hiyo vita
Hatupigwi tunapiga 2-1Sina maneno hivi vita ni hatari sanaa
hivyo Mnyama akiondolewa tusilaumiane mana hata Mama anajua hilo!
Mwenzio keshachapa mtu goliSina maneno hivi vita ni hatari sanaa
hivyo Mnyama akiondolewa tusilaumiane mana hata Mama anajua hilo!
serikali yenyewe inatoa sababu... sisi ni nani?Acha vijisababu, pambaneni, mpo uwanja wa nyumbani
kwani hujui vitu vimepanda beiAcha vijisababu, pambaneni, mpo uwanja wa nyumbani
Mjini mpo vichaa wengi, nadhani ni stress za maishaSina maneno hivi vita ni hatari sanaa
hivyo Mnyama akiondolewa tusilaumiane mana hata Mama anajua hilo!