Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Mimi ni simba lakin hii yanga[emoji23][emoji23]..Hapan ndugu zangu..kuna lile jamaa cjui linaitwa boka..linakimbia hatari...Yule mchezaji au mwizi[emoji1787][emoji1787]..ni halali asiwe anatumika kwenye viwanja vidogo maana mnamnyima raha..Jamaa beki na mbele..yaani anaanza mpira nyuma alafu kdg unamuona kwenye box anamwaga maji[emoji23][emoji1316][emoji1316][emoji1316]
Huyo basi kwakuwa siiamini timu yangu naomba moderator kwaakili x
Zangu timamu ....mnipige bani ya siku 3 kama Simba itashinda Leo ....timu mbovu sana hii[emoji24]
Huyo basi kwakuwa siiamini timu yangu naomba moderator kwaakili x
Zangu timamu ....mnipige bani ya siku 3 kama Simba itashinda Leo ....timu mbovu sana hii[emoji24]