Simba ikishinda Leo dhidi ya Al ahly tripoli nipigwe ban

Mimi ni simba lakin hii yanga[emoji23][emoji23]..Hapan ndugu zangu..kuna lile jamaa cjui linaitwa boka..linakimbia hatari...Yule mchezaji au mwizi[emoji1787][emoji1787]..ni halali asiwe anatumika kwenye viwanja vidogo maana mnamnyima raha..Jamaa beki na mbele..yaani anaanza mpira nyuma alafu kdg unamuona kwenye box anamwaga maji[emoji23][emoji1316][emoji1316][emoji1316]

Huyo basi kwakuwa siiamini timu yangu naomba moderator kwaakili x
Zangu timamu ....mnipige bani ya siku 3 kama Simba itashinda Leo ....timu mbovu sana hii[emoji24]View attachment 3102682
Unaweza kusema hata uolewe, na wana Simba wa wanaowapenda.
So ban nijipe mwenyewe
 
Kwa matokeo ya Yanga ya jana, Simba leo atajituma sana kupata matokeo mazuri. Kwahiyo ataingia mchezoni akitazama matokeo mazuri ya mahasimu wake, pili akiwaza ushindi wake.

Simba akikaza kipindi cha kwanza ashinde hata moja basi ana nafasi kubwa sana ya kutoka na matokeo hata ya 2 bila au 3. Akishindwa kupata matokeo first half, uwezekano wa kutolewa ni 80%.
 
Mimi ni simba lakin hii yanga[emoji23][emoji23]..Hapan ndugu zangu..kuna lile jamaa cjui linaitwa boka..linakimbia hatari...Yule mchezaji au mwizi[emoji1787][emoji1787]..ni halali asiwe anatumika kwenye viwanja vidogo maana mnamnyima raha..Jamaa beki na mbele..yaani anaanza mpira nyuma alafu kdg unamuona kwenye box anamwaga maji[emoji23][emoji1316][emoji1316][emoji1316]

Huyo basi kwakuwa siiamini timu yangu naomba moderator kwaakili x
Zangu timamu ....mnipige bani ya siku 3 kama Simba itashinda Leo ....timu mbovu sana hii[emoji24]View attachment 3102682
Hii ni michezo tuu na michezo ina matokeo matatu . usipende kujiapiza ujinga kila wakati kuna siku utaomba kuwolewa na wakakuwowa kweli
 
Back
Top Bottom