Huwa ana ujingaujinga mwingi sana kichwani na mwilini mwake.Ile ban yako uliyoomba wakati ule unakumbuka bado hukupigwa ukaanza Kuomba Kwa mods wakuachie
Ngoja tuwakumbushe mods wakupige ile ya kwanza ili ujifunze adabu 🤗
Sio poa.Jamaa ni hatari[emoji23]
Ila leo inawezekana utabiri wako ukawa sahihi na hivyo kukuepusha na ban ya siku 3Mbu Mbu mbu wanaamini watashinda