Simba ikishinda Leo dhidi ya Al ahly tripoli nipigwe ban

Unaweza kusema hata uolewe, na wana Simba wa wanaowapenda.
So ban nijipe mwenyewe
 
Kwa matokeo ya Yanga ya jana, Simba leo atajituma sana kupata matokeo mazuri. Kwahiyo ataingia mchezoni akitazama matokeo mazuri ya mahasimu wake, pili akiwaza ushindi wake.

Simba akikaza kipindi cha kwanza ashinde hata moja basi ana nafasi kubwa sana ya kutoka na matokeo hata ya 2 bila au 3. Akishindwa kupata matokeo first half, uwezekano wa kutolewa ni 80%.
 
Hii ni michezo tuu na michezo ina matokeo matatu . usipende kujiapiza ujinga kila wakati kuna siku utaomba kuwolewa na wakakuwowa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…