FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Mlambeni ban huyu mleta mada, kuanzia leo moaka nechi nyengine ya Simba.Mimi ni simba lakin hii yanga[emoji23][emoji23]..Hapan ndugu zangu..kuna lile jamaa cjui linaitwa boka..linakimbia hatari...Yule mchezaji au mwizi[emoji1787][emoji1787]..ni halali asiwe anatumika kwenye viwanja vidogo maana mnamnyima raha..Jamaa beki na mbele..yaani anaanza mpira nyuma alafu kdg unamuona kwenye box anamwaga maji[emoji23][emoji1316][emoji1316][emoji1316]
Huyo basi kwakuwa siiamini timu yangu naomba moderator kwaakili x
Zangu timamu ....mnipige bani ya siku 3 kama Simba itashinda Leo ....timu mbovu sana hii[emoji24]View attachment 3102682
Mambo ni haya mpaka sasa :
Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024