Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kisha kula Ban tayari.View attachment 3103430
@mods naombeni mkumbuke ahadi ya mtoa mada
Kama nawaona mikia wanavyokuja kama nyuki kulia kwa mods wapewe haki yao. 😂😂😂
Halali yakeKisha kula Ban tayari.
TayariYani huyu ale ban sasa hivi. Sisi ndiyo SIMBA bhanaaaaaa
AshakulaWe jamaa kuna sehemu akili yako ina tatizo aisee. Sasa upigwe BAN au upuuzwe???
Hapo sawa, amepata stahiki yakeKisha kula Ban tayari.
Daah! Mods hawajataka aje kuwatambia. 😂
😁🤣🤣Mimi ni simba lakin hii yanga[emoji23][emoji23]..Hapan ndugu zangu..kuna lile jamaa cjui linaitwa boka..linakimbia hatari...Yule mchezaji au mwizi[emoji1787][emoji1787]..ni halali asiwe anatumika kwenye viwanja vidogo maana mnamnyima raha..Jamaa beki na mbele..yaani anaanza mpira nyuma alafu kdg unamuona kwenye box anamwaga maji[emoji23][emoji1316][emoji1316][emoji1316]
Huyo basi kwakuwa siiamini timu yangu naomba moderator kwaakili x
Zangu timamu ....mnipige bani ya siku 3 kama Simba itashinda Leo ....timu mbovu sana hii[emoji24]View attachment 3102682
😁🤣🤣Daah! Mods hawajataka aje kuwatambia. 😂
Jirani, nasikia eti wewe ndiyo ulikuwa unampampu aseme hivyo 😜Wako sahihi lakini. 😂😂
Hapa saaaafi kabisa. Kashapata halali yake.Tayari
Yaani fasta wamelala naye mbele. Lol
😂😂😂Labani mwanayanga mwenzetu tuko pamoja mkuu 😂😂😂.... Wacha wakuue
Nyokooo...Mimi ni simba lakin hii yanga[emoji23][emoji23]..Hapan ndugu zangu..kuna lile jamaa cjui linaitwa boka..linakimbia hatari...Yule mchezaji au mwizi[emoji1787][emoji1787]..ni halali asiwe anatumika kwenye viwanja vidogo maana mnamnyima raha..Jamaa beki na mbele..yaani anaanza mpira nyuma alafu kdg unamuona kwenye box anamwaga maji[emoji23][emoji1316][emoji1316][emoji1316]
Huyo basi kwakuwa siiamini timu yangu naomba moderator kwaakili x
Zangu timamu ....mnipige bani ya siku 3 kama Simba itashinda Leo ....timu mbovu sana hii[emoji24]View attachment 3102682