Simba ikishinda Leo dhidi ya Al ahly tripoli nipigwe ban

Mimi ni simba lakin hii yanga[emoji23][emoji23]..Hapan ndugu zangu..kuna lile jamaa cjui linaitwa boka..linakimbia hatari...Yule mchezaji au mwizi[emoji1787][emoji1787]..ni halali asiwe anatumika kwenye viwanja vidogo maana mnamnyima raha..Jamaa beki na mbele..yaani anaanza mpira nyuma alafu kdg unamuona kwenye box anamwaga maji[emoji23][emoji1316][emoji1316][emoji1316]

Huyo basi kwakuwa siiamini timu yangu naomba moderator kwaakili x
Zangu timamu ....mnipige bani ya siku 3 kama Simba itashinda Leo ....timu mbovu sana hii[emoji24]View attachment 3102682
Punguza ushabiki maandazi
 
Modearator aliyekupa BAN ninahisi atakuwa ni kijana mtiifu wa Mangungu! Yaani utani tu, yeye kafanya kweli!!
 
Back
Top Bottom