Jchris14
JF-Expert Member
- Aug 15, 2019
- 801
- 2,057
Ooh!! Sorry!! Yawezekana nimechanganya mkuu.Mmmh mimi? Utakuwa umenichanganya na Leejay Mkuu. Anaendelea vizuri na karudi jukwaani kama mwanzo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooh!! Sorry!! Yawezekana nimechanganya mkuu.Mmmh mimi? Utakuwa umenichanganya na Leejay Mkuu. Anaendelea vizuri na karudi jukwaani kama mwanzo.
Simba haiwezi kuwa na mtu kama wewe! Wewe tunakujua ni utopolo plus!!Mimi ni simba lakin hii yanga[emoji23][emoji23]..Hapan ndugu zangu..kuna lile jamaa cjui linaitwa boka..linakimbia hatari...Yule mchezaji au mwizi[emoji1787][emoji1787]..ni halali asiwe anatumika kwenye viwanja vidogo maana mnamnyima raha..Jamaa beki na mbele..yaani anaanza mpira nyuma alafu kdg unamuona kwenye box anamwaga maji[emoji23][emoji1316][emoji1316][emoji1316]
Huyo basi kwakuwa siiamini timu yangu naomba moderator kwaakili x
Zangu timamu ....mnipige bani ya siku 3 kama Simba itashinda Leo ....timu mbovu sana hii[emoji24]View attachment 3102682
Achana na huyo mabululu aliechangamkaLabani og umemisika kwenye huu uzi. Najua muda huu ungekuwa unapangua hoja za madunduka.
HAMNA LOLOTE UCHAWA NA ANAHISIWA VIBAYAAlaaah kumbe hivi analipwa sh ngapi?
Natamani niwaulize Mabululu anaendeleaje?🤩Achana na huyo mabululu aliechangamka
Nimeona hapo juu tayari ameshapigwa ban, japo sijajua ni ban ya muda ganiMoods tunaomba apigwe ban kweli , hatutaki Ujinga, tunataka wazalendo wa kweli kwa nchi yetu, mpaka Mh.SSH anasuport wewe nani? Tunaomba apigwe ban
Hoi biin taaban na red yake isiyo na faidaNatamani niwaulize Mabululu anaendeleaje?🤩
Leo hatulali tunawaudhi Tu wenye roho mbaya Utopolo😂Hoi biin taaban na red yake isiyo na faida
😁huu ndo utani wa jadi ningeomba Moderator Active
Usiwe na speculations. Sisi members ambao ni waanzilishi wa hii forum hatuwezi kukubali huu utopolo wenu.😁😁😁😁😁!
Shabiki Uto kindakindaki kapewa haki yakee
Huyo kiranja alompa atakua mwana Thiiimba sio bureee😂😂😂!!
Cc Smart911
Naomba nikununulie jersey ya Yanga na wala siyo kwamba hauna uwezo wa kununua najuwa uko vizuri.Mmmh mimi? Utakuwa umenichanganya na Leejay Mkuu. Anaendelea vizuri na karudi jukwaani kama mwanzo.
Ooh Ahsante Mkuu jmushi1 Sasa mbona nimeipenda aina moja tu, msimu huu na ninayo tayari. Aina nyingine sijazielewa kabisa.Naomba nikununulie jersey ya Yanga na wala siyo kwamba hauna uwezo wa kununua najuwa uko vizuri.
KabisaMwisho utavua nguo na uombe kuogeshwa hadharani.Shikilia ubongo huo.Mjini hapa.
Apewe haki yakeHuku sio kama kule mtu anajisemea tu "Simba akifungwa nak**nya hadharani" , huku JF ahadi ya ban inatekelezeka na amepata alichostahiri