Simba ikishinda leo dhidi ya Pamba nipigwe Ban

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Ikijitahidi sana ni draw. Sioni ikishinda magoli. Labda itashinda njaa tu. Pamba leo wanashinda. Kwa makafara waliyoyatoa? Mikia kipigo kipo. Tena kipo kweli kweli.

Simba ikishinda nipigwe BAN YA SIKU 3. Najua hilo la Simba kushinda halipo. Wakijitahidi sana ni kutoa Draw. Hapo wamejitahidi sana. Watu wameenda mpaka visiwani huko kutafuta ushindi tena leo ijumaa majini yapo active sana na yamepewa damu... Sioni Mikia kushinda. Sioni

Asalamaleko.
 
Sasa ban umekiuka Sheria Gani ya jf?
 
Mnajiaminishaga ujinga Mpira auko ivyo, kama timu ni mbovu ata wakiwekewa bilioni Moja aiwezi kushinda mechi kinachoshinda ni quality ya wachezaji na maandalizi Bora na si vinginevyo
 
Yaani kale katoto kadogo kalikopanda daraja ndio kamfunge simba!!!!!
 
Simba anshinda kuanzi3
 
Hiyo adhabu ndogo sema simba akishinda nafuta account JF hapo sawa
 
tulia wewe hii mechi ilishachezwa tokea juzi na simba ilishashinda
 
Sema upigwe miti kabisa na kwa taarifa yako Pamba atachezea kisago hadi achakae, jiandae na wese tu
 
Una mawazo ya kishirikina sana.. Simba anashinda leo vizuri tu.
Pamba wakijitahidi sana ni draw. 😉
 
Usije sema ulikuwa unatania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…