Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Sijawahi kuona hii kablaAisee wamempa ban kweli😀😀 Mods hamtaniwi hata?😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi kuona hii kablaAisee wamempa ban kweli😀😀 Mods hamtaniwi hata?😀
Hata mimi nimeshangaa😀 ahadi ni deni😆Sijawahi kuona hii kabla
akirudi siku ya tatu kama alivyo andika basi na apaizwe na life banTena aliomba bando la ban la siku 3😀😀 so atarudi jtatuu
Mods hawana hiyana ukiutaka wanakupa uruke nao, mbwiga limeomba ban wakampa sawa sawa na ombi lake.Sijawahi kuona hii kabla
Muoneeni huruma jamani life ban siyo, hii itakua imemfundisha kitu hatorudia kuweka ahadi ngumu😀akirudi siku ya tatu kama alivyo andika basi na apaizwe na life ban
Kwanza sahizi raia wanakucharazia hadi mod anaona aibuMara kibao tu mbona, zamani ndiyo walikuwa wanakausha ila siku hizi hawakuachi.
BannedAsalamaleko