GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Uongozi wa Simba SC nawalaumu sana kwani mlijisahau, kubweteka na kujiamini, badala ya Kujiandaa na Mechi hii muhimu Kwetu Sisi muda wote tukawa tunashangalia Watani zetu Yanga SC kupokea Vipigo viwili mfululizo vya Azam FC na Tabora United.
Tulijua tokea Wiki Tatu au Mbili kuwa tunaenda kucheza na Pamba Jiji FC ambao Watu wa Mpira tunajua kuwa Pamba FC kiasili ni Yanga B na Yanga SC kamwe hawatakubali Mechi hii tushinde kwani tukishinda wanaona itakuwa ngumu Kwao kutupata kwa Maandalizi yetu ya Ubaya Ubwela ya Msimu huu.
Wenzenu wa Yanga SC ambao nawasifu kwa Umafia walianza mapema mno Kuwasaidia Pamba Jiji FC (hasa Kiushirikina) na Kipropaganda huku Vita ya Kisaikolojia nayo wakiwa wameshainza. Cha kushangaza Simba SC yangu (yetu) imeanza Maandalizi ya Mechi hii Siku 5 tu kabla wakati Maadui waliianza Siku 15 nyuma.
GENTAMYCINE nina wasiwasi sana na hii Mechi ya Leo jioni dhidi ya Pamba Jiji FC kwa sababu zangu Kuu zifuatazo......
Naitakia kila la kheri Simba SC leo ila pia kama mwanamichezo nitapokea Matokeo yoyote yale ya ama Kufungwa au kutoka Suluhu / Sare kwani Mchezo wa Mpira ndivyo ulivyo. Na nimalizie tu kwa kuwaomba wana Simba SC wote kuwa leo tusikariri mno na tujiandae kupokea Matokeo yote Matatu ila nawalaumu zaidi Uongozi.

- Siku ya Ijumaa haijawahi kuwa nzuri Kinyota na Simba SC katika Mechi zake
- Hakuna Mtu wa Mpira asiyejua kuwa Mkoa wa Mwanza ni Ngome Kuu ya Yanga SC
- Uwanja wa CCM Kirumba kwa 85% huwa ni Machinjio kwa Simba SC Kihistoria
- Mchezaji mwenye Nuksi akifanya Press Conferences zote Shomary Kapombe jana Kuzungumza