DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Mimi kama mzee wa za ndaaani, nimepata taarifa kuwa kikosi cha Simba kikiwasili leo wana mipango ya kwenda moja kwa moja makao makuu ya Yanga pale Jangwani.
Wachezaji wa Simba wameshaandaliwa kimbinu na kisaikolojia kuwa iwapo itatokea kina Aziz Ki na Pacome wapo viunga vya hapo bondeni na kama hali ya uwanja wa Kaunda inaruhusu, kwamba haujajaa maji, leo leo derby ipigwe pale tupunguze kiporo kimoya na tuwapunguzie mzigo TFF.
Wasiwasi wangu ni uchovu wa wachezaji wa Simba maana safari imekuwa ndefu na wametoka kucheza mechi ngumu. Uto kusanyeni wachezaji wenu tukipige tumalizane, leo leo tumjue bingwa wa NBC.