Of coz kajitahid kwa kiwango chake ....but kwenye michuano ile lazima tuwe na wachezaji wepesi kufanya maamuziKama hatuna shukrani basi tuheshimu anachokifanya Chris's.
Last season uliona ubora wake ,mwaka huu licha ya majeraha ya Mara kwa Mara amefunga goli 2 kwenye mechi 3 alizocheza shirikisho ,compare na mayele alipokuwa Vita last season
bado sijaona maana hamko kwenye mashindano makubwa ya africa i mean klabu bingwa afrika na kombe la shirikishoIlikuwa imekosa wachezaji wenye uwezo binafsi .....that's y ikaja na plan ya kumsajili Mayele.....nadhani umeona improvement
Wee pumba kweli! Aliyeshindwa kuokoa penati hata moja kwenye tano za kwaza ni bora kuliko aliyeokoa kwenye hizo tano za kwanza?Lkn aliisadia timu ....kuibuka na ushindi......manula hamna alichosaidia ........sawa sawa na golin waliweka pazia
Watupumzishe MAKOLOKOLO, si ndivyo tulivyokubaliana baada ya kipigo cha mmbwa mwitu kule South Africa [emoji848][emoji38]Yaani Utopolo, kila kitu kutoka huko kwao, wanaona ni bora! Sina shaka hata kinyesi cha Mayele, wanaweza kukiita KEKI!
Ninyi MAKOLOKOLO si mlikuwepo kwenye hayo mashindano makubwa ya CAF, mlichukua kombe gani kwa miaka yote mi4 iliyopita [emoji848][emoji1787]bado sijaona maana hamko kwenye mashindano makubwa ya africa i mean klabu bingwa afrika na kombe la shirikisho
Mkuu , ungesema mayele hapo ningekuelewa . Ila ulivyosema mdaka mishale nikaona wewe ni wale aliowasema Luc EymaelKwa jinsi nilivyoishuhudia mechi ya kimataifa dhidi ya Orlando Pirates pale sauz kwa Mandela yafuatayo ni baadhi ya Mambo matano niliyo note:
1. Simba walikosa kipa Bora type ya DIARA ambaye anakuwa msaada mkubwa pindi timu inapoingia kwenye upigaji wa matuta ...... kumbuka manura alishindwa kuotea hata penalt moja kudaka
2. Simba kwa mech yao ingawa waliingiza beki 6 kwaajili ya kujilinda[emoji23][emoji23][emoji23] ila walihitaji wachezaji wenye uwezo binafsi type ya MAYELE ambae akipata chance moja ....anaibeba timu
Uwezo wa Manula ,mdaka mishale hata nusu hafiki.
3: SIMBA bado tatizo la upigaji penati Ni mtihani mgumu kwao....Kama ule wa pure mathematics ...coz haiwezekani watu wawili wakose penalty........
YANGA walianzisha tuition ya upigaji penalty but Simba wali ignore...hayo ndo matokeo yao
4.: Simba bado Ina mpira wa mdomoni kuliko mpira wenyewe.....coz huwezi kuwa na wachezaji wazee....alafu ushinde CAF labda CUF ya lipumba
...
By chambuzi la nchi..
Malizia Jambo lingine ulilo note ....mechi ya Simba vs orlando
Reference
Shafii dauda
Mwakalebela
View attachment 2199819
Labda watabeba kombe la CUFNinyi MAKOLOKOLO si mlikuwepo kwenye hayo mashindano makubwa ya CAF, mlichukua kombe gani kwa miaka yote mi4 iliyopita [emoji848][emoji1787]
MAKOLOKOLO bhana, yanashindwa hata kutofautisha kati ya timu bora (BINGWA) na msindikizaji bora (MSHIRIKI) [emoji1732][emoji1]
Nyie wenyewe mmefungwa nje ndani.. mmepasuliwa dakika 90 goli1 kwa nunge na mkapasuliea kwenye Matuta goli 4 kwa 3Wakati mnafungwa nje ndani na rivers united diarra alikuw langoni akidaka mishale
View attachment 2199828
Pale aliyefeli drs la saba akimcheka aliyefeli chuo kikuuNyie wenyewe mmefungwa nje ndani.. mmepasuliwa dakika 90 goli1 kwa nunge na mkapasuliea kwenye Matuta goli 4 kwa 3
tumefungwa nje ndani na timu gani bwana uto ?Nyie wenyewe mmefungwa nje ndani.. mmepasuliwa dakika 90 goli1 kwa nunge na mkapasuliea kwenye Matuta goli 4 kwa 3
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] umewashika pabaya.Wakati mnafungwa nje ndani na rivers united diarra alikuw langoni akidaka mishale
View attachment 2199828
Sadi kabisa mko kwenye fainali zenu manyani na mambwa mkibweka bweka kila konaTulia ....tukutane fainali za champions msimu ujao