Simba ili kupata ushindi iliwahitaji DIARA na MAYELE

Simba ili kupata ushindi iliwahitaji DIARA na MAYELE

Kama hatuna shukrani basi tuheshimu anachokifanya Chris's.
Last season uliona ubora wake ,mwaka huu licha ya majeraha ya Mara kwa Mara amefunga goli 2 kwenye mechi 3 alizocheza shirikisho ,compare na mayele alipokuwa Vita last season
Of coz kajitahid kwa kiwango chake ....but kwenye michuano ile lazima tuwe na wachezaji wepesi kufanya maamuzi
 
Lkn aliisadia timu ....kuibuka na ushindi......manula hamna alichosaidia ........sawa sawa na golin waliweka pazia
Wee pumba kweli! Aliyeshindwa kuokoa penati hata moja kwenye tano za kwaza ni bora kuliko aliyeokoa kwenye hizo tano za kwanza?
 
bado sijaona maana hamko kwenye mashindano makubwa ya africa i mean klabu bingwa afrika na kombe la shirikisho
Ninyi MAKOLOKOLO si mlikuwepo kwenye hayo mashindano makubwa ya CAF, mlichukua kombe gani kwa miaka yote mi4 iliyopita [emoji848][emoji1787]

MAKOLOKOLO bhana, yanashindwa hata kutofautisha kati ya timu bora (BINGWA) na msindikizaji bora (MSHIRIKI) [emoji1732][emoji1]
 
Kwa jinsi nilivyoishuhudia mechi ya kimataifa dhidi ya Orlando Pirates pale sauz kwa Mandela yafuatayo ni baadhi ya Mambo matano niliyo note:

1. Simba walikosa kipa Bora type ya DIARA ambaye anakuwa msaada mkubwa pindi timu inapoingia kwenye upigaji wa matuta ...... kumbuka manura alishindwa kuotea hata penalt moja kudaka

2. Simba kwa mech yao ingawa waliingiza beki 6 kwaajili ya kujilinda[emoji23][emoji23][emoji23] ila walihitaji wachezaji wenye uwezo binafsi type ya MAYELE ambae akipata chance moja ....anaibeba timu

Uwezo wa Manula ,mdaka mishale hata nusu hafiki.

3: SIMBA bado tatizo la upigaji penati Ni mtihani mgumu kwao....Kama ule wa pure mathematics ...coz haiwezekani watu wawili wakose penalty........

YANGA walianzisha tuition ya upigaji penalty but Simba wali ignore...hayo ndo matokeo yao


4.: Simba bado Ina mpira wa mdomoni kuliko mpira wenyewe.....coz huwezi kuwa na wachezaji wazee....alafu ushinde CAF labda CUF ya lipumba
...
By chambuzi la nchi..

Malizia Jambo lingine ulilo note ....mechi ya Simba vs orlando

Reference
Shafii dauda
Mwakalebela
View attachment 2199819
Mkuu , ungesema mayele hapo ningekuelewa . Ila ulivyosema mdaka mishale nikaona wewe ni wale aliowasema Luc Eymael
 
Ninyi MAKOLOKOLO si mlikuwepo kwenye hayo mashindano makubwa ya CAF, mlichukua kombe gani kwa miaka yote mi4 iliyopita [emoji848][emoji1787]

MAKOLOKOLO bhana, yanashindwa hata kutofautisha kati ya timu bora (BINGWA) na msindikizaji bora (MSHIRIKI) [emoji1732][emoji1]
Labda watabeba kombe la CUF
 
River united aliwagonga utopolo; ndani& nje. Sio huyu Diara aliyefungwa penati 9/8. Mkatolewa au unajifariji. Pia juzi FA yanga vs geita gold. 5 hakudaka hata moja.
Ushabiki mwingine unapoteza mpaka kumbukumbu.
 
Back
Top Bottom