Simba ili kupata ushindi iliwahitaji DIARA na MAYELE

Kwa jinsi nilivyoishuhudia mechi ya kimataifa dhidi ya Orlando Pirates pale sauz kwa Mandela yafuatayo ni baadhi ya Mambo matano niliyo note:

1. Simba walikosa kipa Bora type ya DIARA ambaye anakuwa msaada mkubwa pindi timu inapoingia kwenye upigaji wa matuta ...... kumbuka manura alishindwa kuotea hata penalt moja kudaka

2. Simba kwa mech yao ingawa waliingiza beki 6 kwaajili ya kujilinda[emoji23][emoji23][emoji23] ila walihitaji wachezaji wenye uwezo binafsi type ya MAYELE ambae akipata chance moja ....anaibeba timu

3: SIMBA bado tatizo la upigaji penati Ni mtihani mgumu kwao....Kama ule wa pure mathematics ...coz haiwezekani watu wawili wakose penalty........

YANGA walianzisha tuition ya upigaji penalty but Simba wali ignore...hayo ndo matokeo yao

4.: Simba bado Ina mpira wa mdomoni kuliko mpira wenyewe.....coz huwezi kuwa na wachezaji wazee....alafu ushinde CAF labda CUF ya lipumba
...
By chambuzi la nchi..

Malizia Jambo lingine ulilo note ....mechi ya Simba vs orlando

Reference
Shafii dauda
Mwakalebela
View attachment 2199819
Nyie mbona mnao lakini mnapigwa nje ndani kila uchao? Mkishashiba mihogo yenu mnajiropokea tu
 
Tukiacha masihara, Simba mchukueni mayele. Mayele mchezaji mpambanaji sana.
 
Kwa jinsi nilivyoishuhudia mechi ya kimataifa dhidi ya Orlando Pirates pale sauz kwa Mandela yafuatayo ni baadhi ya Mambo matano niliyo note:

1. Simba walikosa kipa Bora type ya DIARA ambaye anakuwa msaada mkubwa pindi timu inapoingia kwenye upigaji wa matuta ...... kumbuka manura alishindwa kuotea hata penalt moja kudaka

2. Simba kwa mech yao ingawa waliingiza beki 6 kwaajili ya kujilinda[emoji23][emoji23][emoji23] ila walihitaji wachezaji wenye uwezo binafsi type ya MAYELE ambae akipata chance moja ....anaibeba timu

3: SIMBA bado tatizo la upigaji penati Ni mtihani mgumu kwao....Kama ule wa pure mathematics ...coz haiwezekani watu wawili wakose penalty........

YANGA walianzisha tuition ya upigaji penalty but Simba wali ignore...hayo ndo matokeo yao

4.: Simba bado Ina mpira wa mdomoni kuliko mpira wenyewe.....coz huwezi kuwa na wachezaji wazee....alafu ushinde CAF labda CUF ya lipumba
...
By chambuzi la nchi..

Malizia Jambo lingine ulilo note ....mechi ya Simba vs orlando

Reference
Shafii dauda
Mwakalebela
View attachment 2199819
thread ya mwezi april, huu ni mwezi wa 11
 
Nmekosa mm[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nlikua nakutafuta sanaaa, haya shusha nyuzi zako zile za kujimwambafy, mihogo FC.

byutiiiiiii byutiiiiiih
 
Kwanza kushabikia mpira Ni dhambi[emoji23][emoji23]....nivile tu haujui
 
Back
Top Bottom