Simba ilifanya usajili wa hovyo Sana kwenye fowadi

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
7,828
Reaction score
10,527
Kwa Hali ilivyo,isiporekebishwa Simba kukosa mbadala waKagere na Boko NI jambo hatari Sana.
Na hili limejitokeza baada ya majeraha ya Boko.Watu wakimkamata Mk14 gemu imeisha,NI heri wangmwacha dogo Salamba tusuesue naye.

Dirisho dogo viongozi walione hili.
 
Wachezaji wapo ni kwa vile tu kocha hutumia mboga moja kwenye kila mlo.

Miraji Athuman.

Rashid Juma.

Hawa raia wawili wanachelewa kwa uzembe wa kocha.
 
Simba walibomoa timu wakanunua wanyoa viduku tu
 
Walimwacha okwi kisa anataka pesa nyingi wakampa mkataba bocco huku wakijua ni majeruhi Mara kwa Mara wakakimbilia kusajili viungo walimwacha salamba halafu wanalalamika wamepata hasara ya kutolewa champion league wakipoteza bilioni 1.3
 
Wachezaji wapo ni kwa vile tu kocha hutumia mboga moja kwenye kila mlo.

Miraji Athuman.

Rashid Juma.

Hawa raia wawili wanachelewa kwa uzembe wa kocha.
Kocha ana kila kitu ila tatizo hakuna anachokijua kuhusu mpira, ana wachezaji kila idara, ndio maana huwa nasema ile timu unaweza ukampa Matola na akafanya maajabu. Tatizo wakiajili kocha wa ndani hawatapata 10%
 
Bado mbrazil mwengine anakuja striker hatari yan msihofu...samba litapigwa mwanzo mwisho..tuwe wavumilivuu[emoji41]
 
Mwacheni kuweweseka, hiyo ni mechi ya kirafiki. Alafu kumbukeni matokeo ya mpira ni ya aina tatu na hatuna budi kuyaheshimu.
 
Hivi yule fowadi mubrazili si yupo...!
Mbona hatumiki ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…