Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Simba ilishamalizana na Morrison kitambo tu, haina mpango wowote na Morrison, azimio la bodi ya wakurugenzi ni kuachana naye, na kwa vile mktaba wake haukwisha, walimwambia apumzike hadi msimu uishe atafute maisha pengine.
Sasa vyombo na mitandao ya kijamii inataka kutuaminisha kuwa Simba wanamtaka tena Morrison, Guys, acheni upuuzi, kama mnamtafutia dili la hela Yanga msiitumie Simba, Simba are now thinking big, hawawezi endelea na mtu ambaye walishamuazimia kutokuwa naye, tulishaandaliwa kisaikolojia kuhusu Morrison, so aende Yanga asiende Yanga, is up to him.
Mambo ya sijui kabadilisha simu, sijui kajiondoa Instagram, hayaihusu Simba tena.