Simba ilishammwaga Morrison siku nyingi tu na taarifa ikatolewa public, msimtafutie kiki zisizo na msingi wowote

Simba ilishammwaga Morrison siku nyingi tu na taarifa ikatolewa public, msimtafutie kiki zisizo na msingi wowote

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Simba ilishamalizana na Morrison kitambo tu, haina mpango wowote na Morrison, azimio la bodi ya wakurugenzi ni kuachana naye, na kwa vile mktaba wake haukwisha, walimwambia apumzike hadi msimu uishe atafute maisha pengine.

Sasa vyombo na mitandao ya kijamii inataka kutuaminisha kuwa Simba wanamtaka tena Morrison, Guys, acheni upuuzi, kama mnamtafutia dili la hela Yanga msiitumie Simba, Simba are now thinking big, hawawezi endelea na mtu ambaye walishamuazimia kutokuwa naye, tulishaandaliwa kisaikolojia kuhusu Morrison, so aende Yanga asiende Yanga, is up to him.

Mambo ya sijui kabadilisha simu, sijui kajiondoa Instagram, hayaihusu Simba tena.
 
Simba kwa sasa hakuna mchezaji bora wa ku attack kama Morrison.

Wachezaji bora Watatu ambao ni attacking minded kwa miaka ya karibuni Simba.

3. Chama
2.Morrison
1.Miquison

Viongozi wamezingua sana kumuachia.
 
Morrison ni mchezaji hatari zaidi ligi ya Tanzania bara.
 
Simba ilishamalizana na Morrison kitambo tu, haina mpango wowote na Morrison, azimio la bodi ya wakurugenzi ni kuachana naye, na kwa vle mktaba wake haukwisha, walimwambia apumzike hadi msimu uishe atafute maisha pengine, sasa vyombo na mitandao ya kijamii inataka kutuaminisha kuwa Simba wanamtaka tena Morrison, Guys, acheni upuuzi, kama mnamtafutia dili la hela Yanga msiitumie Simba, Simba are now thinking big, hawawezi endelea na mtu ambaye walishamuazimia kutokuwa naye, tulishaandaliwa kisaikolojia kuhusu Morrison, so aende Yanga asiende Yanga, is up to him.

Mambo ya sijui kabadilisha simu, sijui kajiondoa Instagram, hayaihusu Simba tena
Umepanic.
 
Morrison ni mchezaji mzuri sana, ni winga bora kwa sasa Tz, ila kutokana na tabia zake mbaya amekuwa na mchango hafifu kwenye timu. No ya magoli na assist zake ni chache, tumtakie kila la kheri huko atakapokwenda.
 
Na kwa kuongezea tu. Simba kama wangekuwa na mpango nae wangeongeza mkataba mwingine. Maana hata Morison mwenyewe bado anaipenda Simba
 
Morrison ni mchezaji mzuri sana, ni winga bora kwa sasa Tz, ila kutokana na tabia zake mbaya amekuwa na mchango hafifu kwenye timu. No ya magoli na assist zake ni chache, tumtakie kila la kheri huko atakapokwenda.
Tabia hizo ni akiwa simba tu akiwa yanga ni raha mtindo mmoja
 
Attachments

  • IMG-20220525-WA0005.jpg
    IMG-20220525-WA0005.jpg
    80.9 KB · Views: 12
Simba kwa sasa hakuna mchezaji bora wa ku attack kama Morrison.

Wachezaji bora Watatu ambao ni attacking minded kwa miaka ya karibuni Simba.

3. Chama
2.Morrison
1.Miquison

Viongozi wamezingua sana kumuachia.
Okwi yupo wapi hapo?
 
Back
Top Bottom