William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Huyu Cadena Kunawatu wamempenyeza aje aivuruge simba kisawasawa. Aliivuruga azam vilivyo. Na sasa kaachiwa timu. Na toka atoke Azam makipa wa Azam wanakuwa bora kila siku. Figisu zimepungua sana. Alipokuwa kule makocha walikuwa hawakai kabisa.
Aliachiwa timu kwa muda Kali Ongala Timu ikapata matokeo mechi 11. Muda wa kukaimu ulipoisha akapewa kwa vyeti vyake lakini kali nyuma huku ndio awe trainers. Akajipa uboss, hakumsikiliza kali, Timu ikaanza kupoteza ovyo ovyo.
Ukweli siiingii uwanjani bila kocha wa kueleweka Simba.