L lutataza JF-Expert Member Joined Jun 14, 2016 Posts 873 Reaction score 435 Jul 2, 2017 #41 Ni sawa na Muongo alivyo mdanganya JK kuwa pesa za ESCROW ni za Sethi. Au Tulivyo ibiwa pesa ya rada na wahuni . Waingereza wakagundua na kuturudishia chenji lakini walioiba hawakuchukuliwa hatua na vijisenti vyao wazungu tukubali wanazidi wengi
Ni sawa na Muongo alivyo mdanganya JK kuwa pesa za ESCROW ni za Sethi. Au Tulivyo ibiwa pesa ya rada na wahuni . Waingereza wakagundua na kuturudishia chenji lakini walioiba hawakuchukuliwa hatua na vijisenti vyao wazungu tukubali wanazidi wengi
Shindu Namwaka JF-Expert Member Joined Sep 22, 2014 Posts 4,911 Reaction score 3,083 Jul 3, 2017 #42 Kuwatetea wezi ni dhambi