Simba imeajiri Afisa Habari na Msemaji ambae hajitambui

Na yule msemaji wenu kilaza...msemaji wa vilaza nae huwa anaongea upuuzi...
Sema tuuu kuna muda wana over talk...wanapitilizaaa
 
Nilimshusha kuanzia nilipomsikia kajibadirisha sauti yake asilia. Anaongea kwa kujikamua kamuavhivi, kama anasoma mashairi. Hivi ujue badae atapitishwa kuwa diwani kupitia ccm tu
uyo anaweza kuwa waziri kabisa
 
Na yule msemaji wenu kilaza...msemaji wa vilaza nae huwa anaongea upuuzi...
Sema tuuu kuna muda wana over talk...wanapitilizaaa
nae kama ni mjinga atapikwa tu ila azam hainaga vilaza
 
Hivi
Hivi siku hizi uwezo wa kujenga hoja umeshuka sana. Yaani mtu mzima anaibuka na mipasho isiyo na hoja yoyote ya kutetea. Sasa hapa mimi ambaye sijamsikiliza huyo Ahmed shida aliyo nayo naijuaje? Inawezekana mtoa hoja ndiye hajui kitu.
 
Hujamsikiliza unachangia nn?
 
Kama ulitaka tusikilize ungeleta sauti hapa. Pamoja na yote husemi kakosea nini una bwabwaja tu.
Tuliofika chuo hatukogo wavivu ivi muhadhiri alikuwa anatupa tu list ya vitabu tunavitafuta
 
Maskini 🤭

pole,
humehumidhwa na thimbwa mpaka na thithiemu?
 
Hv ni lini Simba na Yanga zilishawahi kuwa na wasemaji wenye akili?
 
fuatilia kipande anamsifia mgeni rasimi kocha utaona kabisa ni empty skull
Kawaida mkuu hata Ali kamwe wa Yanga na wa AZAM media ni tofauti bila kujitoa ufahamu mjini pagumu mkuu.
 
Hiyo ndiyo Tanzania yetu, elimu/taaluma haina nafasi, angalia hata maprofesa jinsi wanavyojidhalilisha kwa kauli zao na kwa kukana taaluma zao, ili mradi maisha yaende.
Na kwa bahati mbaya hayo unayoyaona kwamba ni kero kuna asilimia kubwa ya mashabiki wanayafurahia. Huwa wanaangalia watu wanapenda kusikia vitu gani hata kama havina mantiki.
Na hiyo ipo kuanzia juu hadi chini.

Elimu
Elimu
Elimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…