Simba imebadilika sana, kumchezesha kipa namba 3 kwa waarabu nyumbani kwao ni ujasiri mkubwa

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Nimeangalia gemu ya Simba vs Al Hilal na nimebaini yafuatayo.

1. Simba ina uwezo kwa sasa kucheza na timu yoyote duniani bila kumtegemea Manula wala Benno, hili jambi Utopolo hawawezi kuthubutu
2. Pamoja na shutuma, matusi na kebehi kwa uongozi wa Simba kuhusu usajili, Simba wamewekeza sana kwenye pitch kuliko nje ya uwanja kama utopolo
3.Kikosi kilichocheza na Al Hilal kilitushtua wengi, lakini kimedhihirisha kuwa mpira ni mbinu na mfumo.
4.Katika modern football sio lazima uwe na viungo wakabaji ndio ucheze vizuri, Kocha wa Simba amethibitisha hilo.
5.Modern football inataka mchezaji awe na uwezo wa kucheza namba yoyote uwanjani, Zoran Mack ametuonyesha Leo kwa Peter Banda, Chama na Mwinuke
6.Zoran Mack ametuonyesha namna gemu za ugenini zinavyopaswa kuchezwa kwa adabu, Al Hilal ya Ibenge sio ya kawaida kama tunavyodhani
7.Kama Simba imecheza na wachezaji kama Salim, Mwinuke, Gadiel, Israel, Kapama ambao hawapo first eleven, itakuwaje kikosi kikikamilika
8.Kwa namna Simba wanavyosambaza upendo uwanjani kwa pasi milioni 1, nimeamini wanapocheza na utopolo kuna hujuma zinafanywa na watu ndani ya timu yetu ili tupoteze.
9.Simba ikipata striker wa maana hakuna wa kupata sare
10.Simba hii ikishinda nyumbani bao 3 0 na ugenini ikacheza hivi kama ilivyocheza Leo na Al Hilal, am sure inakwenda kucheza final
11.Simba nguvu moja, wale wanaotaka madaraka katika uongozi wasubiri kwanza, kuuza gemu kwa utopolo ni ufala wa kiwango cha chuo kikuu
12.Simba msisikilize waandishi wa michongo, tuendelee kuleta heshima katika nchi hii kwani utopolo kuhangaika kwao kutaishia kwa Al Hilal

NB Hongera sana Zoran Mack, Bila Kanoute wala Mkude wala Akpa lkn shughuli imeonekana pale Sudan.
 
Sawa simba inaweza kucheza na timu yoyote duniani ila scoreboard itaongea
 
Mimi Yanga, Inaniuma Sana Kila nikifikiria Yaani Hawa AL Hilal tunaenda Kukutana Nao iwapo Mungu akitusaidia Kumwondoa Zalan Fc.
 
Mm sijapenda tulivyocheza Simba. Kwenye mashindano serious na aggresive team tukicheza vile tutakuwa kwenye wakati mgumu..
 
Hivi wewe uliona Pale ni kwa waarabu?

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Pumbavu hapo tumefumgwa halafu unaleta siasa za kipunguani.

Tukicheza na Utopolo kwa akili ya huyu kocha mpumbavu tutafungwa hata sita.

Hizi siasa ndio zinaua Simba .Tumezubaishwa na mlete mzunguu..huu ni zaidi ya upunguani.
Timu haina ushindani.Kila siku majaribio ya kipuuzi

Nina hasira na viongozi wa Simba kwa hiki wanachotufanyia.
Wakati wenzetu wako kwenye mikakati ya kuimarisha timu,sie tunafanya majaribio ya mzungu na kuivuruga timu
 
[emoji4][emoji13]
 
Chini ya Kocha Zolani Simba tutafungwa sana.
Hasikii haambiwi chochote kuhusu wachezaji wake.
 
Kama Simba wameweza kuthubutu kumchezesha Kipa nambata tatu Tena ugenini Kwa waarabu bila kiungo namba sita Kwa ligi ya NBC wanao uwezo wa kucheza bila Kipa na wakapata matokeo.
Simba guvu moja.
 
Wewe shoga,unapigwa pumbu mpaka macho hayaoni Sudan ni kwa waarabu?
 
Sijaelewa kwa nini Dejan mzungu amepewe nafasi zaidi ya Phiri, Dejan ni mzigo kwa timu, hana control, hajui kukaba, hajui kulinda mpira. Akiwepo uwanjana ni kama kuna kuwa na mchezaji mmoja pungufu Simba, kocha Zoran aambiwe ukweli mapema vinginevyo atakuja kutuletea matatizo baadae.
 
Mashindano ya Cacl yatathibitisha haya uliyoandika.
 
Mi nashangaa watu wanalaumu wakati wale wachezaji 90% ni wakukaa bench hawajawahi kucheza mechi ya pamoja hata moja jana ndo mara ya kwanza ila mashabiki wanavyo lalamika ni kama imeanza first eleven yote vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…