Simba imefanikiwa kupata nyani (seng'wa) mwenye vidole 5 mguu wa kulia na 4 mguu wa kushoto milima ya Uluguru, Simba 5 Kaizer Chiefs 0!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Game imeisha Simba inaelekea nusu fainali kwa mbinu ile ile waliyoitumia kuwatoa Mufulira Wonders ya Zambia kwenye mtanange unaofanana kwa 100% na huu.

Hatimaye Simba wamempata nyani kama yule wa wakati ule aliyefanikisha ushindi ule.

Safari hii shukrani za pekee zimwendee babu tale wa Morogoro.

Hadi mwisho ubao utasoma Simba 5 Kaizer Chiefs 0
 
🤣🤣🤣Wao wanacheza na wanyama wafugwao tu.

Kwa mwenendo huo ,wakiingia nusu fainali wataanza kuwatumia wanyama wasiofugika 🤣 ,safari hiyo inabidi Tale ashirikiane na Prof.Jay na Afande Sele huko mapori ya Moro!!!
 
images (28).jpeg
 
Game imeisha Simba inaelekea nusu fainali kwa mbinu ile ile waliyoitumia kuwatoa Mufulira Wonders ya Zambia kwenye mtanange unaofanana kwa 100% na huu.

Hatimaye Simba wamempata nyani kama yule wa wakati ule aliyefanikisha ushindi ule.

Safari hii shukrani za pekee zimwendee babu tale wa Morogoro.

Hadi mwisho ubao utasoma Simba 5 Kaizer Chiefs 0
Ni aibu na ujinga mkubwa kwa Dunia ya leo kuongelea mambo ya ushilikina kwenye mpira,
Ndiyo maana wazungu walisema mtu mweusi ni sawa na nyani utabisha?
 
Nawewe unasemaje kuhusu hilo? Je wewe sio miongoni mwawahanga waubaguzi huo? Je unafurahia zile dharau namajivuno, nyodo na kujikweza kwa kocha wa kaizer? Kivyote iwavyo lazima wagonoleshwe hii leo pale kwamkapa manina zao!
 
Simba iache kujidanganya haina uwezo wa wa kuifunga kaiza 5-0. Forward yenyewe, boko, kagere, mugalu vimeo. Warudi tu vpl wajipange kwa 2022
 
Pumbavu kabsaa acheni ujinga wenu
Mkifunga ni goli mbili tuu
 
Ni aibu na ujinga mkubwa kwa Dunia ya leo kuongelea mambo ya ushilikina kwenye mpira,
Ndiyo maana wazungu walisema mtu mweusi ni sawa na nyani utabisha?
ndio maana tumemkamata ndugu yetu
 
Ni aibu na ujinga mkubwa kwa Dunia ya leo kuongelea mambo ya ushilikina kwenye mpira,
Ndiyo maana wazungu walisema mtu mweusi ni sawa na nyani utabisha?
Acha UJINGA,Wazungu wenyewe ni Washirikina balaa.
 
Matokeo yatakuwa Simba 2 : 1 Kaizer Chiefs
 
Tulizidiwa tukapigwa 4 oc'lock ndiyo tuliishia pale,

Twendeni tukakamilishe ratiba hata kwa droo inatosha, mkianza mazindiko na kafara huo siyo Moira Tena.
 
Ndiyo maana wazungu walisema mtu mweusi ni sawa na nyani utabisha?
Alisema Luc Eymael, kocha mzungu wa Yanga, kwamba mashabiki wa timu hiyo wanabweka kama mbwa na nyani
 
Aliyekwambia wazungu hawarogi Nani?.
HAO ndo wachawi kinoma na mpira wanaroga

Back
Top Bottom