Simba imefanikiwa kupata nyani (seng'wa) mwenye vidole 5 mguu wa kulia na 4 mguu wa kushoto milima ya Uluguru, Simba 5 Kaizer Chiefs 0!

Simba imefanikiwa kupata nyani (seng'wa) mwenye vidole 5 mguu wa kulia na 4 mguu wa kushoto milima ya Uluguru, Simba 5 Kaizer Chiefs 0!

Ninemsha poteza matumaini,angalau kipindi cha kwanza Simba tungeongoza kwa goli 2 au 3 hapo ningekuwa naamani.
Mmefunga la pili mkuu!

Hawa simba watatufanya Yanga tuumie sana wakirudisha haya magoli
 
Kwa huu mpira simba amecheza kuanzia leo nimekuwa shabiki wao
 
Safi sn Simba,fanyeni marekebisho kadhaa,ninyi ni tishio Africa
 
Ila nawe kuna mahali unakwama kila mtu alijua simba hatoboi tangu wiki ilopita we umeandika nini hiki?
 
Back
Top Bottom